Charles Ignatio
Senior Member
- Oct 9, 2010
- 133
- 52
Yaani issue hapa sio TCU pekee,Watanzagiza(wtz) tumerogwa haya masuala ya kila mtu anafanya anavyoweza na ndio maana tcu watawazingua na kisha vyuo vitafunguliwa na wale ambao watakuwa wamebahatika kupata vyuo wataenda vyuoni watasoma orientation week watamaliza harafu loan board watawambia kwamba hata form zao hazikuwahi kufika! soo likiingia barabarani watapigwa risasi za moto, je bora lipi ukae home au uende kozi za kimafia?