Kuna nini TCU mwaka huu

vijana mna hasira,lkn 2punguze jazba km program ambz hazijakamilika ktk baadhi ya vyuo wameshazitaja bac hii inamaanisha kuwa majina yp krb kutolewa,lkn na mm nadoubt kwa nn tarehe ya 2nd applxn itajwe alaf majina unreleased!
na deadline yao ya 2nd applxn ikifika na bd hakijaeleweka itakuwaje!!!
nadhani t*u hacked
 
Kuweni na subira 2 vijana,kama ni chuo mtaingia 2,na withn 2wks mtataman tena kurud kitaa..
 
Bado wanachuja ili wale wa CCM waweze kupewa first priority kwa hiyo wale wa vyama vingine hasa CDM waandike maumivu kwa kuwa wanaogopa kuwachagua wataenda kuandamana huko vyuoni
 
Back
Top Bottom