haya sasa gagurito chombo hichokuwa mme wangu wa muda halafu changia.
kwan nan anakujua ata km ukisema?
yap si vyema kutoa siri za ndan..bt uyu ajakwambia umpe siri zako yeye anatakla vsa mkasa ili apate kujifunza..vsa ni lazima vilikuwa vnajulikana kdg na sio siri kivile km ambavyo mtu angekuuliza mkeo ana alama gan kwenye.....
so apa uyu ajaomba ajue siri zenu anataka VISA MKASA VILE aMBAVYO ANAWEZA KUJIFUNZA KITU...
Mahusiano bila kukwaruzana yanaboa.. yaani yanakuwa kama hayana changamoto vile.. Mahusiano mazuri ni yale mnakorofishana, kisha mnarekebisha matatizo, kila mmoja anajifunza halafu maisha yanaendelea kama kawa huku mkisubiri mkwaruzano mwingine..

Hapo sasa kunakuwa hakuna mapenzi ya kweli..kuna baadhi ya watu mkikorofishana ht hajali....
..Kupendwa raha...
uko juu
Na mapenzi ya kweli cku hz hakunaHapo sasa kunakuwa hakuna mapenzi ya kweli..
Yapo mai dea.. ila tatizo ukiingia mapenzini huku unaamini hakuna mapenzi ya kweli ndo shida inapoanzia..Na mapenzi ya kweli cku hz hakuna
Kila la kheri!Ahh kwa raha zangu..
Dah sidhani..kuna wkt nilikuwa naimani mapenzi ya kweli yapo lkn cku hz mmmhh ctaki kusikia hii kitu...sometimes najiuliza is it a crime kuishi bila mapenzi!?Yapo mai dea.. ila tatizo ukiingia mapenzini huku unaamini hakuna mapenzi ya kweli ndo shida inapoanzia..
Hapo sasa ndo unapokosea.. fungua moyo wako kwanza ili umpokee atakaekuja na mapenzi ya kweli.. Hata imani inaumba.. jifunze kuwa positive na utafurahia ulimwengu wa mapenzi. Kutendwa kupo na ni sehemu tu ya maisha.. acha kufunga moyo wako.. Kuishi bila mapenzi/mpenzi ni kuidhurumu nafsi..Dah sidhani..kuna wkt nilikuwa naimani mapenzi ya kweli yapo lkn cku hz mmmhh ctaki kusikia hii kitu...sometimes najiuliza is it a crime kuishi bila mapenzi!?
Mmh nna uchungu hpa nikikumbuka..nahc kuna kitu kimenikaba kooni acha tu...kila mtu namuogopa..Hapo sasa ndo unapokosea.. fungua moyo wako kwanza ili umpokee atakaekuja na mapenzi ya kweli.. Hata imani inaumba.. jifunze kuwa positive na utafurahia ulimwengu wa mapenzi. Kutendwa kupo na ni sehemu tu ya maisha.. acha kufunga moyo wako.. Kuishi bila mapenzi/mpenzi ni kuidhulumu nafsi..
Machafuko yapo lakini si busara kutoa siri za ndani ya nyumba hadharani, nikishasema ili iweje utakuja kusaidia au?[/QUOTE
Nafikiri mmnielewa vibaya, ukiwa ndani ya uhusiano kidogo una la kusema, kama huko au hujawahi nahisi huna la kusema. Othewise utaleta umbea wa kusema ya wenzako ndiyo maana nikasema uwe ndani ya ndoa au mahusiano. Hapa hatutakii umbea. Pia wewe hujalazimishwa kusema chochote kuhusu wewe, zunguzia sehemu ambayo uko confortable. Ukinihoji nitakusaidia wakati sijakulazimisha kuniambia mambo nakushangaa.