Kuna ndoa au mahusiano yenye raha siku zote pasipokuwa mikwaruzano?

Migongano ipo sana tu ila hakuna general approach. Nilivyo solve mimi si lazima na mwengine asolve hivyo hivyo kwa hiyo hata tukiweka visa havitakusaidia sana.
 
kwan nan anakujua ata km ukisema?
yap si vyema kutoa siri za ndan..bt uyu ajakwambia umpe siri zako yeye anatakla vsa mkasa ili apate kujifunza..vsa ni lazima vilikuwa vnajulikana kdg na sio siri kivile km ambavyo mtu angekuuliza mkeo ana alama gan kwenye.....

so apa uyu ajaomba ajue siri zenu anataka VISA MKASA VILE aMBAVYO ANAWEZA KUJIFUNZA KITU...

Sasa unasema hayo yote we si uanze kuelezea hivyo visa au mikasa iliyokupata bana! Miaka 10 ndani ya ndoa hujapata visa au mikasa my dearest Rose1980 ? kuwa muwazi bana tunajua unamilikiwa na yule jamaaa ina maana hujawahi kwaruzana nae au hakuna mkasa wa kimalavidavi kweli? plse be black and white in this matter coz i know the secret behind U're marriage!
 
kwakweli mm huwa nkifikria mapaenzi dah....ndo maana mpk leo sitaki kutia pua yangu kwenye mambo ya mapenzi...
 
Mahusiano bila kukwaruzana yanaboa.. yaani yanakuwa kama hayana changamoto vile.. Mahusiano mazuri ni yale mnakorofishana, kisha mnarekebisha matatizo, kila mmoja anajifunza halafu maisha yanaendelea kama kawa huku mkisubiri mkwaruzano mwingine..
 
kuna baadhi ya watu mkikorofishana ht hajali....
 
Mahusiano bila kukwaruzana yanaboa.. yaani yanakuwa kama hayana changamoto vile.. Mahusiano mazuri ni yale mnakorofishana, kisha mnarekebisha matatizo, kila mmoja anajifunza halafu maisha yanaendelea kama kawa huku mkisubiri mkwaruzano mwingine..

..Kupendwa raha...

uko juu
 
Yapo mai dea.. ila tatizo ukiingia mapenzini huku unaamini hakuna mapenzi ya kweli ndo shida inapoanzia..
Dah sidhani..kuna wkt nilikuwa naimani mapenzi ya kweli yapo lkn cku hz mmmhh ctaki kusikia hii kitu...sometimes najiuliza is it a crime kuishi bila mapenzi!?
 
Dah sidhani..kuna wkt nilikuwa naimani mapenzi ya kweli yapo lkn cku hz mmmhh ctaki kusikia hii kitu...sometimes najiuliza is it a crime kuishi bila mapenzi!?
Hapo sasa ndo unapokosea.. fungua moyo wako kwanza ili umpokee atakaekuja na mapenzi ya kweli.. Hata imani inaumba.. jifunze kuwa positive na utafurahia ulimwengu wa mapenzi. Kutendwa kupo na ni sehemu tu ya maisha.. acha kufunga moyo wako.. Kuishi bila mapenzi/mpenzi ni kuidhurumu nafsi..
 
Ngoja nimpe mjuu kisa labda ataelewa...sihitaji kusema kama ndoa ni tamu au la...tambarare au ina makona...

Siku moja bibi alinijibu kitu ambacho sikupenda...nikamfinya...na yeye akaamua kunimwagia maji ya moto (bahati nzuri hayakuwa ya moto sana). Kwa kuwa tulikuwa jikoni na kulikuwa na watoto...nikaona hii itakuwa bongo la soo. Nikaamua kumvuta kwa nguvu na kumbeba mzobe mzobe hadi chumbani. Tulipofika nikafunga mlango kama mtu ambaye nataka kumsulubu....Baada ya kufunga mlango nikamwacha amesimama pembeni mwa mlango nikaenda kukaa kitandani... Baada ya kama dak 5 hivi za ukimwa...akanifuata kitandani tukapiga story na kuyamaliza ki-utu uzima.

C.D umeliona hilo vagi???
 
Hapo sasa ndo unapokosea.. fungua moyo wako kwanza ili umpokee atakaekuja na mapenzi ya kweli.. Hata imani inaumba.. jifunze kuwa positive na utafurahia ulimwengu wa mapenzi. Kutendwa kupo na ni sehemu tu ya maisha.. acha kufunga moyo wako.. Kuishi bila mapenzi/mpenzi ni kuidhulumu nafsi..
Mmh nna uchungu hpa nikikumbuka..nahc kuna kitu kimenikaba kooni acha tu...kila mtu namuogopa..
 
Machafuko yapo lakini si busara kutoa siri za ndani ya nyumba hadharani, nikishasema ili iweje utakuja kusaidia au?[/QUOTE

Nafikiri mmnielewa vibaya, ukiwa ndani ya uhusiano kidogo una la kusema, kama huko au hujawahi nahisi huna la kusema. Othewise utaleta umbea wa kusema ya wenzako ndiyo maana nikasema uwe ndani ya ndoa au mahusiano. Hapa hatutakii umbea. Pia wewe hujalazimishwa kusema chochote kuhusu wewe, zunguzia sehemu ambayo uko confortable. Ukinihoji nitakusaidia wakati sijakulazimisha kuniambia mambo nakushangaa.
 
Mahusiano bila kukwaruzana yanaboa.. yaani yanakuwa kama hayana changamoto vile.. Mahusiano mazuri ni yale mnakorofishana, kisha mnarekebisha matatizo, kila mmoja anajifunza halafu maisha yanaendelea kama kawa huku mkisubiri mkwaruzano mwingine..

teh teh, umenivunja mbavu ila kweli dear! halafu mkikwaruzana we usiombe baada ya hapo penzi linaibuka upyaaaaaaaaaaaaa!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom