Kuna Mtanzania natamani kujua kama Kiingereza chake cha Kuongea ni Kizuri kama kile anachokisoma kwa Kujiamini na Mikogo kwa Kuandikiwa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,638
109,004
Ngoja nitafute sasa Video Clips zake nione akiwa na Wazungu (Wenye Lugha yao hii ya Kiingereza) huongea nao kwa Kujiamini na Mikogo aliyonayo kama akiwa anasoma katika Karatasi kwa Kuandikiwa na huenda wanaoijua hiyo Lugha (Kiingereza) zaidi yake.

Binafsi nijiweke tu Wazi kuwa sijui Kiingereza, ila Lugha pekee tukuka ambazo nazijua na hakuna wa Kunishinda hapa JamiiForums ni za Kiswahili, Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi / Kinyarwanda.
 
Back
Top Bottom