Kuna mkono wa CCM kwenye kesi ya Slaa? Angalia picha hii!

eumb

Senior Member
Apr 2, 2012
149
70
attachment.php

Picha ya wabunge wa CCM (Sophia Simba na Esther Bulaya) wakimkumbatia Rose Kamili (Chadema) jana mjini Dodoma, ambapo Kamili amefungua kesi ya kupinga ndoa ya Dr Slaa na Josephine Mshumbuzi hiyo jana.
 

Attachments

  • IMG_0556.jpg
    IMG_0556.jpg
    421.9 KB · Views: 6,499
Usiumize kichwa mkuu waache waendele kuruka sarakasi na taulo sebuleni........Wakili anayemtete Rose Kamili Ni Tadayo CCM pure na ndiye mwanasheria wa Membe, anaye mtetea Mahimbo ni Mgombea wa Udiwani Ubungo kwa Tiketi ya CCM akadondokea pua.Ukipitia Madai ya Rose kamili hata kwa mtu ambaye siyo mwanasheria ukiyaangalia unaweza kugundua mengi. :wacko:
 
Ina maana (rose kamili) alifunga ndoa na dr slaa? Na kama hakufunga ni nini kinamfanya ampinge slaa kufunga ndoa wakati hana uthibitisho wa ndoa?
 
Picha ya wabunge wa CCM (Sophia Simba na Esther Bulaya) wakimkumbatia Rose Kamili (Chadema) jana mjini Dodoma ambapo kesi ya kupinga ndoa ya dr Slaa ilimeanza.

Haya mambo yakukumbatiana namna hii Angalie asije anza kubabuka ngozi kama Mwakyembe kabla kesi haijaisha!
 
hiyo kesi itaanza kusikilizwa mara baada ya ndoa kufungwa hiyo tar 17...
 
huyu anawadhlilisha wanawake wenzie kama slaa asipo mwoa j atamrudia?? hata mtoto mdogo anaona kwamba ndoa ni ridhaa ya wawail sasa yeye analazimisha mwenzie akae single?
 
Mimi simo katika mambo binafsi niko kizalendo zaidi, wanawake siku hizi v icheche sana; fedha kwanza mambo mengine baadaye
 
huyu rose alipataje uviti maalumu kipezo kilikuwa kipi? ilikuwa ni hongo au ni nini mbona majembe kibao wapo huku mb af wakakosa. Atakaye nijibu asitumie jazba maana atatoka nje ya swali naipenda cdm na ndo maana ctaicha ikizingua . CDM 4 CHANGE LET US CHANGE WE FIRST IF THERE IS ANY INCONVINIENCE. CDM IN MY BLOOD!
 
Tatizo ni udhaifu wa CDM kuwadhibiti wanachama wake kununuliwa na CCM.
 
Uzinzi uzinzi uzinzi! laana juu ya laana juu ya laana. Kwa Kanoni, kwa Sharia, Kwa Sheria kote kote ayafanyayo Slaa ni uzinzi tu.

Huyo ndio kuna wachache wanaoona hilo si kosa wanataka awe Rais wa nchi hii? Dah!
 
huyu rose alipataje uviti maalumu kipezo kilikuwa kipi? ilikuwa ni hongo au ni nini mbona majembe kibao wapo huku mb af wakakosa. Atakaye nijibu asitumie jazba maana atatoka nje ya swali naipenda cdm na ndo maana ctaicha ikizingua . CDM 4 CHANGE LET US CHANGE WE FIRST IF THERE IS ANY INCONVINIENCE. CDM IN MY BLOOD!
Sina hakika kama unachotaka kujua ni kigezo kilichotumika, lakini kama ni hivyo, iliangaliwa elimu ya mgombea, mchango wake katika kukijenga/kukikuza chama nk. Nijuavyo, huyu mama alikuwa diwani wa CCM hadi 2010. Alipataje ubunge kwa kipindi kifupi alichojiunga na CDM inabaki kitendawili.
 
Back
Top Bottom