Marumeso
JF-Expert Member
- Oct 3, 2009
- 1,410
- 1,313
upatikanaji wa mafuta umekuwa ishu sn hasa toka bei ya 1990 (kwa petroli) ianze kutumika kwa hapa dzm vituo vingi vimefungwa unaambiwa hamna wese. leo jpili nimeyapata kwa vijana wanayauza 3000 kwa lita. hiv kuna mgomo au nn kinaendelea? na km mamlaka haiwez kuwatia nidhamu hawa jamaa kwann wasiwaachie wauze kwa bei watakayo kuliko hiv hatupati kabsa wese?