Kuna mgomo wa wauza mafuta?

Marumeso

JF-Expert Member
Oct 3, 2009
1,410
1,311
upatikanaji wa mafuta umekuwa ishu sn hasa toka bei ya 1990 (kwa petroli) ianze kutumika kwa hapa dzm vituo vingi vimefungwa unaambiwa hamna wese. leo jpili nimeyapata kwa vijana wanayauza 3000 kwa lita. hiv kuna mgomo au nn kinaendelea? na km mamlaka haiwez kuwatia nidhamu hawa jamaa kwann wasiwaachie wauze kwa bei watakayo kuliko hiv hatupati kabsa wese?
 
Issue iko namna hii,
EWURA imetengeneza utaeatibu wa kupabdisha na kushusha bei karibia kila wikiend inapokaribia!!
Sasa utaratibu huu umekua wa ajabu sana kiasi cha kwamba kama last time ilipanda, basi this time lazima ishuke.
Bei haijawahi kupanda au kushuka mara mbili mfululizo.
Sasa kwa kua leo ni Jumapili na lst time bei ilishuka basi ni wazi kesho lazima itapanda!!
Sasa wanachofanya wafanyabiashara ni kuyahifadhi mafuta yale waliyoyanunua wiki iliyoisha kwa bei kidogo ili waje kuyauza kwa bei kubwa wiki inayoanza!!
EWURA wanachanganya sana kwa kweli!!
Watu wana mafuta karibia mwezi wa pili sasa, lakini wao kazi yao ni kupandisha na kushusha ka wiki kwa bei za ku-google Internet.
 
upatikanaji wa mafuta umekuwa ishu sn hasa toka bei ya 1990 (kwa petroli) ianze kutumika kwa hapa dzm vituo vingi vimefungwa unaambiwa hamna wese. leo jpili nimeyapata kwa vijana wanayauza 3000 kwa lita. hiv kuna mgomo au nn kinaendelea? na km mamlaka haiwez kuwatia nidhamu hawa jamaa kwann wasiwaachie wauze kwa bei watakayo kuliko hiv hatupati kabsa wese?

WaTZ ukimya na woga wetu pia na kuptojua haki zetu ndicho chanzo cha amtatizo kama haya nani wa kutupigania kama sio sisi wenyewe kwani hata wabunge wetu wamekwisha tusaliti
 
Issue iko namna hii, EWURA imetengeneza utaeatibu wa kupabdisha na kushusha bei karibia kila wikiend inapokaribia!! Sasa utaratibu huu umekua wa ajabu sana kiasi cha kwamba kama last time ilipanda, basi this time lazima ishuke. Bei haijawahi kupanda au kushuka mara mbili mfululizo. Sasa kwa kua leo ni Jumapili na lst time bei ilishuka basi ni wazi kesho lazima itapanda!! Sasa wanachofanya wafanyabiashara ni kuyahifadhi mafuta yale waliyoyanunua wiki iliyoisha kwa bei kidogo ili waje kuyauza kwa bei kubwa wiki inayoanza!! EWURA wanachanganya sana kwa kweli!! Watu wana mafuta karibia mwezi wa pili sasa, lakini wao kazi yao ni kupandisha na kushusha ka wiki kwa bei za ku-google Internet.
...Updating.

...Bei imezidi kushuka na kinachoendelea sasa ni kitu kama mgomo baridi. Ngoja tusubiri, labda wataachia.

...But, this is not good, at all.
 
Unajua wanasema autakiwi kuamini uchawi
lakini seriali yangu inabidi iamini hivyo kwa upuuzi na uchafu wanaofanya hawa watu wa miliki wa vituo vya mafuta...nimekaa kujiuliza je wamaelogwa ama lah???kwa nini serikali inakaa kimya kuadimika kwa mafuta ya petrol na kuuza diesel pekeyake....kwa nini mpuuzi mmoja wa ewura juzi anaulizwa na clouds anada swala la kuzza ama kutooza ni la kivbiashara kila mtu ana uamuzi wake pumbafuuuuuuu kabisa mziray kama umekosa cha kuongea usiende cluods tutakutukana kwenye magari yetu hata kama usikiii na upumbavu wenu wa ewura..kuna aj hgani ya kupunguza mafuta na wau wameifadhi mafuta ya petrol chini shenzi zenu nyie msie na haya ya kuzaliwa ......

Nimepita oilcom ya kisutu wasivyo na aibu kabisa wanadai ati atuuzi petrol zaidi ya alfu 20 yaani 20,000
loh na serikali wamekaa kkimya kabisa engen mikocheni wamesema ama zao wafunge ama serikali ipandishe bei ndio wanafungua

kuna haja ya kujiunga na al shabab kwa kweli ili nchi iende sawa
 
Yaani, kama vile hatuna serikali... sijui hao walioko serikalini hawaoni aibu!
 
Mkuu sirikali hailogeki na nakubali haiamini urozi,isipokuwa mtu anayetunza siri ndo anaweza akafanyiwa urozi na urozi wenyewe si mpaka uende sumbawanga enzi zile,hapana.Uropzi wa kisasa,unapewa zako mshiko unakula kona,we unaulizwa sh.ngapi tukupe? we unazani nyumba zote na magari yaliyopo hapa dar ni halali? (wakwere,wazaramo huwa wana huu usemi) We kalaga baho na ubozi wako!
Yaani kaaga hapo hapo na ujinga wako.
 
The main problem hapa hatuna anything kiko kwenye str8 line. Kila mtu ananguvu ya kuamua na kufanya anachotaka hata kama anaenda against the regulations.... viongozi legelege, sera legelege, nchi legelege,,,, what else we can get?
 
Sio kwamba wamelogwa wenye vituo vya mafuta wako juu ya serikali japo serikali anajifanya inawapa schedule price ya mafuta
 
Me najiunga na Yeyote yule anaetaka kuasi, mapambano ya keyboard yamenichosha
 
Kazi tunayo. Juzi nilipita vituo kadhaa naambiwa petroli hakuna. Kumbe ni cartel - kuikong'oli serikali
 
maanina! Leo wamenitesa hawa watu! Imebidi niombe kupack ofisini kwa m2 nitafute za kuungaunga hadi hospital, baba Irizi anatutesa jaman duh!
 
Ni saa la pili sasa nimepanga foleni ya kusubiri mafuta ya petrol. Hivi hii nchi ina uongozi? Jk,pinda, bilali wapo wapi ? Hawaoni mateso ya watanzania. Ni njia gani rahisi ya kuhama nchi?
 
Ni saa la pili sasa nimepanga foleni ya kusubiri mafuta ya petrol. Hivi hii nchi ina uongozi? Jk,pinda, bilali wapo wapi ? Hawaoni mateso ya watanzania. Ni njia gani rahisi ya kuhama nchi?
na hapo ndo theluthi ya magari hayapo mjini
 
we endelea kupanga foleni bana......hao uliowataja wako saa hizi wanajiandaa kwa sikukuu......
 
Halafu kuna watu bado wanathubutu kusema tuna serekali- Serekali gani inachezewa hivi? Hili ni genge la wachumia tumbo tu!!! Mpaka hii miaka 4 iishe hamna rangi tutaacha ona!!!
 
Back
Top Bottom