Kuna Mdada aged around 25, usiku huu simjui hanijui, kaning'aninia nimuoe

Lugano5

R I P
Jul 15, 2010
4,520
755
Wadada, msijirahisishe hivyo

Kuna Mdada aged around 25, usiku huu simjui hanijui, kaning'aninia nimuoe ni mmarangu ana watoto wawili,

Anataka nimuoe tu, Nimechukua namba zake Ila mpaka muda huu namfikiria, maana nimemwambia Nina mke anasema yupo tayari hivyo hivyo,nimekutana nae barabarani nilikuwa natembea kunyoosha miguu!

Naomba ushauri wenu, (hapa nimeshawaza kimasihara)
 
Wadada,msijirahisishe hivyo

Kuna Mdada aged around 25 ,usiku huu simjui hanijui ,kaning'aninia nimuoe Ni mmarangu ana watoto wawili,

Sasa na wewe unasubiri nini?
Muwowe faster
 
Wadada,msijirahisishe hivyo

Kuna Mdada aged around 25 ,usiku huu simjui hanijui ,kaning'aninia nimuoe Ni mmarangu ana watoto wawili,

Anataka nimuoe tu, Nimechukua namba zake Ila mpaka muda huu namfikiria, maana nimemwambia Nina mke anasema yupo tayari hivyo hivyo,nimekutana nae barabarani nilikuwa natembea kunyoosha miguu!

Naomba ushauri wenu, (hapa nimeshawaza kimasihara)
Weka picha...
 
Kweli wanaume wameisha dunia hii. Hili nalo ni la kuja kulia lia JF?? Toa maamuzi kama mwanaume ya kukubali ama kukataa. Period!
 
Wadada,msijirahisishe hivyo

Kuna Mdada aged around 25 ,usiku huu simjui hanijui ,kaning'aninia nimuoe Ni mmarangu ana watoto wawili,

Anataka nimuoe tu, Nimechukua namba zake Ila mpaka muda huu namfikiria, maana nimemwambia Nina mke anasema yupo tayari hivyo hivyo,nimekutana nae barabarani nilikuwa natembea kunyoosha miguu!

Naomba ushauri wenu, (hapa nimeshawaza kimasihara)
Sema kwel bwanaaaa,, nyoosha vizuri maelezo kuwa umemtongoza, lakn baada ya yeye kuwa mkweliii kuwa Ana watoto wawili wataka Ushauri..

Ushauri wangu UMUOE ..
 
Wadada,msijirahisishe hivyo

Kuna Mdada aged around 25 ,usiku huu simjui hanijui ,kaning'aninia nimuoe Ni mmarangu ana watoto wawili,

Anataka nimuoe tu, Nimechukua namba zake Ila mpaka muda huu namfikiria, maana nimemwambia Nina mke anasema yupo tayari hivyo hivyo,nimekutana nae barabarani nilikuwa natembea kunyoosha miguu!

Naomba ushauri wenu, (hapa nimeshawaza kimasihara)

Muoe tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom