major mkandala
Member
- Mar 6, 2010
- 74
- 0
Hakika hii nchi ndio maana inazidi kulaanika siku hadi siku.
Kwa walioangalia kwenye ITV taarifa ya habari imesikitisha saana kuona wagonjwa wakiwa kwenye ambulance wakisubiria wengine wazidiwe ndipo wapelekwe muhimbili.
Mh meya wa kinondoni SALUM LONDA akiwa na wenzake waliamua kuwatoke gafla bila taarifa hospital ya mwananyamala na kukuta wagonjwa wamelala kwenye ambulance ati wakisubiri ijae wapelekwe MUHIMBILI...jamani kweli hawa watu wanamjua MUNGU kweli..
Je ingekuwa ndugu yako anaumwa kweli wewe DK MKUU DK SULEIMAN ulietetea ati ni kutokana na kufanya ECONOMY ya Mafuta ya Gari...???kweli wewe baba Mamamako ameletwa hapo amezidiwa anatakiwa kwenda muhimbili nyie si wa kwanza kulazimisha dereva amwahimishe muhimbili iweje wengine mnawafanya kama Samaki wa MUSOMA jamani...gari aiondoki mpaka ijae ndio safari ya kupeleka samaki inaanza..sasa binadamu hawana aibu wala haya kabisa jamani...Huyu dk bila haya wala aibu ya kuzaliwa alijitetea kwamba Awakuwa na mafuta ya gari ya kutosha so wana minimize kwenda mara kwa mara kwa kusubiri wengine wajae wanaoitajika kwenda hospital.....
Hivi wewe waziri wa afya hawa watu wana akili??na kama kweli wanayosema mafuta machache wewe na wizara yako mna akili kweli??mnawaambia wasubirishe watu wanaoitajika opereshen kwenye ambulance;;;shame tanzania gov...,.
Watanzania tunaitaji kubadilika kudai haki zetu hata kwa damu