Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 9,067
- 15,815
DuhSasa kama akili zenu zimewatuma kunizawadia bandari mnaanzaje kunipangia cha kufanya, kwanza pale sijui nijenge mabanda ya mbwa nianze ufugaji.
DuhSasa kama akili zenu zimewatuma kunizawadia bandari mnaanzaje kunipangia cha kufanya, kwanza pale sijui nijenge mabanda ya mbwa nianze ufugaji.
Hawawezi kufanya kazi na wazembe km nyieNimepitia mtandao wa X na kukuta mjadala kwenye kurasa wa Martin Maranja M asese almaarufu MMM kuhusu DP World kusitisha mikataba ya wafanyakazi ili kuleta wafanyakazi wao.
View attachment 2923488
View attachment 2923489
Serikali ambayo ni sehemu ya huu mkataba uliopigiwa kelele na wananchi, itoe maelezo kukanusha ama kufafanua kinachoendelea Bandarini kwa sasa.
🤣🤣🤣Mtafuteni Maulidi Kitenge na Hando wapanue midomo…Mama anaupiga mwingiiiiiiiiiiiii
Kiwanda cha sukari cha NSSF kinaitwa Mkulazi Mkuu. Nawakaribisha rafiki zangu waliokuwa wanafanya kazi bandarini kuna mashamba hapa mkulazi waje wafanye kazi za vibarua.Kwa ule mkataba DP world ndio anaamua afanye kazi na nani na wapi ana haki ya kuwafukuza wafanyakazi wote na kutafuta wengine….hao walioletwa na serikali..watafutiwe pakufanya kazi pengine hata kwenye mashamba ya mpunga kilombero au kiwanda cha sukari kile cha NSSF…….
Dp World hoyeeeeeeeeee
Hongera mkuuSafari hii ntawakomesha.
Bi kidawa anasemaje?Nimepitia mtandao wa X na kukuta mjadala kwenye kurasa wa Martin Maranja M asese almaarufu MMM kuhusu DP World kusitisha mikataba ya wafanyakazi ili kuleta wafanyakazi wao.
View attachment 2923488
View attachment 2923489
Serikali ambayo ni sehemu ya huu mkataba uliopigiwa kelele na wananchi, itoe maelezo kukanusha ama kufafanua kinachoendelea Bandarini kwa sasa.
Kwani ahadi ya serikali ilikuaje kuhusu ajira?Hata kama ni ww ungekuwa tiyari kufanya kazi na watu ambao asilimia 80 ya muda wa kazi wanautumia kwenye chai,lunch, na kutongozana?
16 December 2023
RC Albert Chalamila - Changamoto Meli zimekuwa nyingi
View: https://m.youtube.com/watch?v=nnbxpsEM69o
Kama walikuwa wanaendekeza uzembe ulitaka wavumiliwe ?Kwani ahadi ya serikali ilikuaje kuhusu ajira?
Serikali ambayo ni sehemu ya huu mkataba uliopigiwa kelele na wananchi, itoe maelezo kukanusha ama kufafanua kinachoendelea Bandarini kwa sasa.
Keep in mind moja ya sababu ya kuuza bandari ni kuwa wezi umezidi bandariniDp weldi wameona kufanya kazi na mtanzania kwenye management ni mzigo, watz tunajua uwezo wetu na ufanisi wetu...UKO CHINI, yoyote anayetaka maximum output ni ngumu sana kuvumilia kufanya kazi na sisi. RAZIMA TUSEME UKWERI!!
Sema wezi wanashirikiana na viongozi wenye kutusaliti. Sasa kama DP wanavunja tangu mwanzo makubaliano ya kuajiri wananchi inakuaje tushindwe kesi dp wakivunja mkataba. Unless tulidanganywa kuhusu masharti ya mkataba na DP. Ndio maana wengi tumekua tukidai mkataba na DP uwekwe wazi. Kumbuka ule mkataba kati ya serikali na dubai kuna mzalendo alileak mitandaoni baada ya kuona yale madudu ya waarabu na vigogo nchini kutwaa bandari zote nchini kufanya kama mali yao binafsi.tutashitakiwa MIGA mkuu