Kuna madhara kufanya kufanya mapenzi kila siku?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Binadamu tumetofautiana, kuna watu wanapenda kuangalia mpira na kuna wengine wanapenda kufanya mapenzi.

Swali, Kuna madhara yoyote anapata mtu akiwa anafanya mapenzi kilasiku?
 
Kila siku kwa muda gani? Mimi nilishawahi kufululiza wiki moja sikupata madhara yoyote.
 
Back
Top Bottom