Kuna kundi kubwa la watumishi ambao bado hawajapata mshahara mpaka leo tarehe 25-10-2024

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,490
11,253
Ni kweli taasisi nyingi tu za umma bado hawapata mishahara yao hadi muda huu saa7 kasoro dakika 13 mchana.

Naomba Mungu anipe nguvu na huruma ya kuwavumilia watumishi niliowakopesha, nilipatwa na jazba sana kwa hatua ya kuchukua simu zao.

Nimetafakarii sana hatua Ile, nimejifunza jambo kama mwanaume napaswa kuwa na huruma wakati wote bila kuchoka.

Nawapa pole sana watumishi wote wa serikali ambao mpaka dakika hii hawajapata mishahara yao.

Mungu aendelee kuwasimamia nyakati hizi ngumu sitachoka na nitawavumilia muda wote.

Mungu awape nguvu poleni sana.

Ucha Mungu ni utu na huruma ni sehemu ya kuishi utu na ubinadamu.

Inshallah

Wadiz
 
Usikute ww ndo mtumishi
Acha huo ufala, kama unakumbuka sakata la Barclays bank miaka ya 2000s basi tulizo mshono na makalio toka kitambo nipo kitaa nawashukuru hao Barclays bank kwa kujichanganya tupo kitaa toka enzi
 
Inaonekana wamechoka itakuw walimu hao Hadi unwanyanganya simu na kuwarudishia unavyotaka.


Inafikirisha Sana Kama nchi tupo sehemu ikiwa mwajiriwa Hana utofauti na Jobless what shit is
Hadi huruma Lamama ameshindwa ndiomana anahangaika na utumwa
 
Back
Top Bottom