Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 23,839
- 71,546
Sipendi mtu anaeongea na simu zaidi ya dakika 2.
Acha majivuno ,salimia watu !!.Hehee kuna mtoto wa ndugu alikuja kwetu likizo. Stori za hapa na pale,, mtoto karopoka yan Lenie anapenda kutuma hata kama kitu kipo nyuma yake.
Hapo huyo Lenie ni mama yake mzazi,, mtoto kamtaja kwa jina lake. aloo mama Depal alikafinya 🤣
Mimi sipendi tabia ya mama kunilazimishia kupigia ndugu simu kisa ni mtoto mie ndio niwapigie kusalimia. Namwambiaga wao wana yao, nami nina yangu. Kukiwa na ulazima tutachekiana, kama haupo tukutane hivo hivo kibahati nasibu.
Yan kama sina cha kukuambia mimi simu sipigi.
Vyovyote itakavyoonekana. Kama sina stori sisumbui watu..Acha majivuno ,salimia watu !!.
Acha mashauziKi ukweli sipendi kuchart , hivyo mtu wangu anaponitumia sms zaidi ya mbili simjibu.
Uongo huoSipendi mtu anaeongea na simu zaidi ya dakika 2.
Mkuu bora nmekuona, kuna maelekezo ulinipa siku za nyuma kidogo, Asante nilifika pale jengo la one stop center, yule HR wa kike hafai hata kdogoKi ukweli sipendi kuchart , hivyo mtu wangu anaponitumia sms zaidi ya mbili simjibu.
Siipend mnoo hii tabia..but i dont judge.ile kujisifia sana sikubarigi kabisa na jamaa angu yeye ni mtu wa showoff tu haijarishi yuko na nani ila majivuno ka ngonjera
Ana nia njema sanaMimi sipendi tabia ya mama kunilazimishia kupigia ndugu simu kisa ni mtoto mie ndio niwapigie kusalimia.
Hapo nakubali. Ni kama maza angu yeye anasema siwapigii simu ndugu au kuwatembelea , mara najitenga . Yaani hizo pigo sina. Kukiwa na ulazima nitapiga kinyume na hapo never.Hehee kuna mtoto wa ndugu alikuja kwetu likizo. Stori za hapa na pale,, mtoto karopoka yan Lenie anapenda kutuma hata kama kitu kipo nyuma yake.
Hapo huyo Lenie ni mama yake mzazi,, mtoto kamtaja kwa jina lake. aloo mama Depal alikafinya 🤣
Mimi sipendi tabia ya mama kunilazimishia kupigia ndugu simu kisa ni mtoto mie ndio niwapigie kusalimia. Namwambiaga wao wana yao, nami nina yangu. Kukiwa na ulazima tutachekiana, kama haupo tukutane hivo hivo kibahati nasibu.
Yan kama sina cha kukuambia mimi simu sipigi.
Serious mwenyewe nime develop tabia ya kutokupokea simu. Ni bora mtu anitext ila kuongea ongea naona kero.Uongo huo
Hahahaha...Acha mashauzi
Jibu sms za watu
🤣🤣
Maisha yanabadilika best, ndugu zako ndo watakao tafutwa kipindi umepata majanga hujitambui.Vyovyote itakavyoonekana. Kama sina stori sisumbui watu..
Hebu sema kweli,Sipendi mtu anaeongea na simu zaidi ya dakika 2.
Mahi wangu kutafuna km beats za S2kizzy🤌
kuniforce kufanya jambo....we umekuja bwana ee nna 1 2 3 nimekupa jibu NO unaanza kulalamika na kulazmsha kufanya unavotaka ww aseee SIPENDI HIKI KITU na kingine kunibishia kitu nnachojua zaid yako oyaa UBINADAMU KAZI aseeKwenye maisha kuna vitu ambavyo mtu anaweza kuw anafanya kila mara na ikawa kero kwa wengine.
Hali hiyo anawaweza kuwa anaifanya kwa kujua kabisa makusudi kuwa anawakera watu wengine lakini wapo ambao wanaweza kufanya na wasijue kuwa kitendo wachokifanya ni kero kwa wenzake wanaokuwa karibu.
Kuna kitu gani ambacho mtu wako wa karibu anakifanya hukipendi lakini unashindwa kumwambia?
Kuna watu wanapenda sana kutuma, hata kitu kikiwa karibu na alipo ataita tu kama mhindi.Mama angu anapenda sana kutuma😔