Kuna kila dalili za Lowassa kuwa rais wa nchi hii!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Kila nikitazama kulia,kushoto,juu na Chini Lowassa ndiye Rais ajaye wa nchi hii! Nilikua Siamini hili Ila nimefanya utafiti kwa makundi ambayo zamani yalikua ni magumu sana kuamini katika upinzani na mabadiliko! Makundi haya ni ya wanawake na wazee kwa kuwauliza ni Rais gani mnafikiri atatusha kwa wakati huu?Majibu yao ni Lowassa na wengine ni CCM,Magufuli bado hawamjui! Sijui ni kwanini viongozi wa CCM hawatoi Elimu kwa wapiga kura huko vijijini?
Kilichompa Lowassa nguvu ni ule wakati wa harakati zake kutafuta wadhamini wakati yuko CCM,kwani alifika maeneo mengi nchini na kufahamika zaidi! Tatizo kwa Magufuli ni kile kitendo cha kutafuta wadhamini kimya kimya, kwani kwa sasa anapata ugumu kwa kutumia nguvu nyingi sana!Lowassa alijiwekea hazina kubwa ya wapiga utafikiri alijua kwamba atatimkia upinzani!
Faida nyingine anayoipata Lowassa ni kutojibu tuhuma anazotupiwa na mahasimu wake, Watu wengi wanamuona ni kama mtu mustaarabu asiyependa kujibizana hovyo,asiyependa malumbano! mpaka wengine kudai kwamba si kweli kwamba LOWASSA ni mtu wa visasi! Hasa kwa makundi haya ya wazee na wakinamama yakiwa kama makundi ya watu wasiopenda kelele na vurugu zozote. Hapa ndipo utakapoamini kwamba LOWASSA anaijua siasa, anajua namna watanzania walivyo na wanahitaji kitu gani kwa sasa! Sijazungumzia kundi la vijana ambalo kwa kiasi kikubwa ndio mtaji wake wa kura!
Kitu kiingine kinachomsaidia LOWASA kupaa ni kujitokeza kwa watu maarufu kutumia muda mwingi kumponda bila hata yeye kujibu na kukupuuza kelele hizo kama ile methali isemayo "kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji" Mfano kujitokeza kwa aliyekua katibu mkuu wa CHADEMA Dr Slaa kumtukana na kumponda Mh LOWASSA ni kitendo ambacho kimechukuliwa na umma kama chuki binafsi zisizokua na msingi wowote kwa mtu mzima kama yule.Dr Slaa umeonekana kama aina ya mwanasiasa mwenye ubinafsi,mwongo na Mtu mwenye visasi visivyokua na maana kwa umri wake ule.
Kujitokeza kwa vikundi vya waandamanaji vinavyoratibiwa na baadhi ya viongozi wa CCM wakivalishwa nguo za CHADEMA kijifanya kuunga mkono kauli za Dr Slaa! Mfano ni kitendo kilichofanywa na aliyekua Meya wa jiji la DSM Didas Masaburi kuwarubuni vijana wa Manispaa ya Kinondoni kuandamana mitaani kijifanya wao ni wanachadema wakiunga mkono kauli za Dr Slaa na akijinasibu kua Kikwete,Kinana na Magufuli wanajua anachokifanya. Kwa maoni ya watanzania wengi wamedai kua huu ni aina ya uchochezi unaofanywa na wanaccm ambapo huenda baadaye wakatengeneza kikundi cha uasi endapo watashindwa kwenye Uchaguzi! Kitendo hiki nacho kimeonekana kama kuishiwa Sera na hoja maana badala ya kuishawishi jamii iwaamini lakini wao wanashawishi vurugu mitaani, Hapa pia ndipo Lowassa anapopata mteremko wa aina yake kwenye ushindi kwa kupuuzia propaganda hizo.
 
Wale wanaotukana waendelee kutukana tuu. Ila mabadiliko ndio hayo yakuja. Hata Magufuli anajua kuwa mabadiliko yaja ndio maana huwa anayataja
 
Hayo ni mawazo na mtazamo, ni vizuri kulipiga debe la aina hiyo! subiri october uone matokeo ya debe lako.
 
Lowassa hawezi kuwa raisi hii nchi, na hajibu mapigo sababu hana cha kujibu. Tuhuma zote zinazoelekezwa kwake ni ukweli, atajibu nn sasa?
 
Maumivu ya kichwa huanza polepole, kitapowa tu baada ya Lowasa kuwa raisi, ukweli mchungu lakini hatuna budi kuukubali
 
Tatizo linakuja sio chaguo la MUNGU. Mungu hawatupi waja wake na KAMWE hawezi watupa katika mdomo wa mamba, tutafutane tarehe 28.10.2015 Kama Mungu atatujahlia, natumai hautazimia kwa mshtuko kuwa UMDHANIE KUMBE SIYE.
 
Ule ukimya wa Lowasa baada ya kujiuzulu uwaziri Mkuu ,ulikua na maana kubwa Sana ,kama hakuweza kujibishana na waliomwangusha miaka yote hiyo unategemea aje kubishana Leo na Dr Mihogo ???
#LOWASAANATOSHA
 
Lowassa hawezi kuwa raisi hii nchi, na hajibu mapigo sababu hana cha kujibu. Tuhuma zote zinazoelekezwa kwake ni ukweli, atajibu nn sasa?

Tembulukoje, Rais wa kujibizana na walevi mitaani huyo siyo Rais wa kuheshimika! Nimemkubali Lowassa kwa hiyo mbinu ya kunyamaza! Ushindi asubuhi kabla misa ya pili haijesha!! Mwaka huu "MKUDOLOJA"
 
Lowassa hawezi kuwa raisi hii nchi, na hajibu mapigo sababu hana cha kujibu. Tuhuma zote zinazoelekezwa kwake ni ukweli, atajibu nn sasa?
kama ni kweli kwa nini asiwe gerezani kama akina mramba? Mpelekeni mahakamani la sivyo shut up!!!
 
Mkuu uchambuzi wako naukubali, unajua LOWASSA wanampigia campaign bila wao kujua. Hata ukiuliza watoto wadogo rais mtalajiwa ni nani watakuambia LOWASSA kwa sababu ndiye anaetajwa sana.
 
mimi kwa mtazamo wangu, watanzania wategemee mengi sana, na siri nyingi sana kuwekwa wazi ndani ya wiki ya mwisho ya kampeni za uchaguzi
 
Sina shaka kabisa na magufuli huyu
brother ni mchapa kazi sana
naongea hvi kwasababu nmefanya
naye kaz baadhi ya maeneo.
Kwasasa nadiliki kusema ccm
inaenda mlama na naumia sana
moyon mwangu kwasababu nchi
hii inahitaji mtu mchapa kaz kama
magufuli lakn ccm inaweza
kutukosesha kiongoz shupavu
kama Magufuli.
Lawama zote nakuangushia ww
Mzee kikwete, kikwete uliamin
uswahiba kazn hukuangalia
utendaji, uliendekeza upole kazn
hukujaribu kumfokea mtu mwovu.
Lowasa kweli alikumbwa na kashfa
lakn kuna makashfa mangapi
yametokea kwenye uongoz wako
na wahusika wote wanakula
maisha mitaan?
Chama chako mzee Kikwete
kimekumbatia mafisadi nguli kama
Andrew chenge, Rostam azizi,
karamagi yote haya ni mafisadi
papa yaliyo ndan ya ccm na chama
kimeshindwa kuyachukulia hatua
yoyote sasa unataka kutuambia
lowasa ni mchafu kuliko haya
majitu yaliyo ndan ya ccm?
Mm nakubali kabisa ccm imezidiwa
nguvu najiona taratiibu naanza
kusombwa na mafuriko.
Mm naamin lowasa sio msafi lakn
hata ccm nao sio wasafi sasa kama
wote ni wachafu bora tukubali
matokeo tu.
Jaman mafuriko yamenizidi nguvu
naanza kusombwa.
Lakn yote kwa yote tumwachie
mwenyez Mungu atuwekee mtu
anayefaa madarakan. Sisi hatujui
lolote bali tunaongozwa na
mapenzi yetu lakn Mungu naamini
ww ndio unawajua hawa viongoz
wawili kwamba ni yupi anaongea
kwa kutoka ndan ya moyo na ni
yupi anaongea kinafki. Mungu Watz
twahitaji uwepo wako.
 
Mkuu uchambuzi wako naukubali, unajua LOWASSA wanampigia campaign bila wao kujua. Hata ukiuliza watoto wadogo rais mtalajiwa ni nani watakuambia LOWASSA kwa sababu ndiye anaetajwa sana.

My dear huku mtaani kila mtu ni Lowassa. Kuna ule wimbo unaoimbwa "Lowassa kipenzi cha watu....watoto Lowassa
Wamama....Lowassa
Bodaboda. ...Lowassa....."
Kila pembe nausikia!
 
Lowassa hawezi kuwa raisi hii nchi, na hajibu mapigo sababu hana cha kujibu. Tuhuma zote zinazoelekezwa kwake ni ukweli, atajibu nn sasa?

Wewe unaishi mjini au kijijini? Kama mjini njoo huku kijijini uone watu waliivo pigika na umaskini uliokithili hii yote ni matunda ya ccm kwa miaka 54, kwaio hata watu wa huku tunahitaji mabadiliko 2015.hata huku vijijini Ccm imeshindwa tumeibeba vya kutosha kwa miaka yote54
 
Back
Top Bottom