Dada una umbo zuri mnoMmh..hatari
We jamaa ,Kwa hiyo hutaki kukubali Kuna COVID?Mkuu kama una mlenga kachero mbobezi, Baada ya kuhojiwa Dodoma alielekea kwenye hoteli isiyojulikana kupata chakula kizuuuri.
Hapa kachero anaweza kuwa alipata chakula kutokea kwenye hoteli inayojulikana.
Kama nchi tuna tatizo la kukubali vifo vya watu bila Postmortem wala inquest.
Kenya wametuzidi sana kwenye haya. Kwetu imebakia bwana alitoa na kutwaa.
Magufuli alikuwa mjinga kukataa chanjo, ndiyo maana alikufaChanjo ilikuwa ya majaribio, na tafiti zinaonesha 2-5 years aliyechanjwa lazima afe. Soma post #48. Lazima mfe wote mliochanja in 2-5 years. Unashani Dkt Magufuli alikuwa mjinga kukataa chanjo??
Me hapa nna homa kali na mafua tangu j5 nimeona hata nisiende hosptaliHaya mabadiliko ya hali ya hewa sio pouwa hasa mvua zinapoelekea kuisha na kuanza msimu wa kiangazi ni shida
Moderator Maxence MeloNyie mods, mmepata faida gani kufuta comment yangu, hivi mnajua naweza kuishi bila kuingia jf. Msilete ujinga wenu tena.
Jilock down mkuu... MsitusumbueWakuu, sijui kama mmegundua, kuna kaupepo ka Homa za ajabu ajabu kanaendelea mitaani na watu wanaumwa sio kidogo wengine wanadai hadi kupoteza ndugu wanaowajua kutokana na homa hizi lakini cha ajabu hakuna taarifa rasmi ya Serikali hata kutahadharisha tu.
Aisee tuchukue tahadhari wenyewe kabla hayajatukuta mambo ya 'Father Bernard'
Mkuu hii kweli kabisa,na sijui ni kitu gani mi inanikimbiza week.sasaWakuu, sijui kama mmegundua, kuna kaupepo ka Homa za ajabu ajabu kanaendelea mitaani na watu wanaumwa sio kidogo wengine wanadai hadi kupoteza ndugu wanaowajua kutokana na homa hizi lakini cha ajabu hakuna taarifa rasmi ya Serikali hata kutahadharisha tu.
Aisee tuchukue tahadhari wenyewe kabla hayajatukuta mambo ya 'Father Bernard'
Mkuu mwenye nimetumia dawa nyingi nazoziaminia naona ngoma imesmama karibia week naa inanpiga tu..Kuna moja nimepata juz ndo angalau mafua yametulia ila bado kichwa hakijaka sawaAisee basi tupo wengi, nimepigwa na mafua na homa kali zaidi ya wiki 3 Hadi Leo hii bado kichwa kinauma Tu ingawa mafua yamepona
Nimetumia kila Aina ya dawa za mafua lkn bado ilishindikana
COVID imerudi tena Kwa kasiMkuu mwenye nimetumia dawa nyingi nazoziaminia naona ngoma imesmama karibia week naa inanpiga tu..Kuna moja nimepata juz ndo angalau mafua yametulia ila bado kichwa hakijaka sawa
Pumu na presha ndo vinamsumbua.Wakuu, sijui kama mmegundua, kuna kaupepo ka Homa za ajabu ajabu kanaendelea mitaani na watu wanaumwa sio kidogo wengine wanadai hadi kupoteza ndugu wanaowajua kutokana na homa hizi lakini cha ajabu hakuna taarifa rasmi ya Serikali hata kutahadharisha tu.
Aisee tuchukue tahadhari wenyewe kabla hayajatukuta mambo ya 'Father Bernard'