Kuna haja ya vyombo husika kuchunguza zile kambi za Simba nje ya nchi

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Huu ni ushauri tu kwa vyombo husika vinajifahamu siwezi kuvitaja hapa. Ila kwa kifupi kuna haja ya kuchunguza zile kambi za nje za Simba wanaenda kwa minajili gani, tunaelewa humu kwenye football kuna uovu mwingi sana umejificha kama vile, Kamari, Rushwa, Upangaji wa matokeo na pia biashara haramu ya madawa ya kulevya.

Ukiangalia mchezo wa Jumapili ambapo Simba ilipokea kichapo cha goli 5 kutoka kwa kubwa la maadui Yanga na jana walipoenda na Namungo droo ya moja moja unaweza kudhani Yanga au Namungo ndio walikua nje ya nchi, kwa simba hakuna kinachoonekana cha kimpira hakuna jipya kabisa sasa kama wanaenda nje kuweka kambi na matokeo yake ni kula goli tano mimi na wewe tujiulize huko nje wanakwenda kufanya nini?

Mimi na wewe sio wageni tumesikia baadhi ya viongozi wa Soka wakikamatwa kwa kujihushisha na biashara haramu za madawa ya kulevya Matajiri wengi sana wanapenda kutumia mpira wa soka kama kichaka chao cha kujificha kwa kufanya biashara chafu kwa kigezo kikinuka mashabiki wa timu husika watakua upande wao.

Simba kama wanakimbilia nje ya nchi kwa kigezo cha kambi then mwisho wa siku wanarudi na kuaibisha taifa wanaenda kufanya nini huko nje si bora wakawa wanaweka kambi bunju na hizo hela watumie kufanya usajili.

Roma ikisema imesema.
 
Huu ni ushauri tu kwa vyombo husika vinajifahamu siwezi kuvitaja hapa.Ila kwa kifupi kuna haja ya kuchunguza zile kambi za nje za Simba wanaenda kwa minajili gani, tunaelewa humu kwenye football kuna uovu mwingi sana umejificha kama vile, Kamari, Rushwa, Upangaji wa matokeo na pia biashara haramu ya madawa ya kulevya.

Ukiangalia mchezo wa Jumapili ambapo Simba ilipokea kichapo cha goli 5 kutoka kwa kubwa la maadui Yanga na jana walipoenda na Namungo droo ya moja moja unaweza kudhani Yanga au Namungo ndio walikua nje ya nchi, kwa simba hakuna kinachoonekana cha kimpira hakuna jipya kabisa sasa kama wanaenda nje kuweka kambi na matokeo yake ni kula goli tano mimi na wewe tujiulize huko nje wanakwenda kufanya nini ?

Mimi na wewe sio wageni tumesikia baadhi ya viongozi wa Soka wakikamatwa kwa kujihushisha na biashara haramu za madawa ya kulevya Matajiri wengi sana wanapenda kutumia mpira wa soka kama kichaka chao cha kujificha kwa kufanya biashara chafu kwa kigezo kikinuka mashabiki wa timu husika watakua upande wao.

Simba kama wanakimbilia nje ya nchi kwa kigezo cha kambi then mwisho wa siku wanarudi na kuaibisha taifa wanaenda kufanya nini huko nje si bora wakawa wanaweka kambi bunju na hizo hela watumie kufanya usajili.

Roma ikisema imesema.
Naunga mkono hoja

Mambo ya kwenda tu Uturuki ili tu kumkomoa mtani wako Yanga ni ujuha
 
Inatakiwa ujue Simba na Yanga sio mali ya Umma ni mali Pvt, so serikali haiwahusu kabisa
 
Inatakiwa ujue Simba na Yanga sio mali ya Umma ni mali Pvt, so serikali haiwahusu kabisa
Jidanganye kwanini mabadiliko lazima yapitie Serikalini, yule kocha wa makipa alikua wa timu gani,TFF yenyewe ipo under FIFA ila jiulize kwanini Malinzi alibananishwa
 
Sasa mtu anaanza kuipangia Simba matumizi unafikiri anastahili heshima huyo?
Miaka ya tisini,Kuna timu ilikua ilifadhiliwa na mhindi,ilikua ikienda kucheza nje,inaenda na kila mchezaji akiwa na mpira,ikirudi inarudi na mpira mmoja,nadhani waliulizwa inakuaje,mhindi hakuchukua muda akaitelekeza timu
 
Simba kama wanakimbilia nje ya nchi kwa kigezo cha kambi then mwisho wa siku wanarudi na kuaibisha taifa wanaenda kufanya nini huko nje si bora wakawa wanaweka kambi bunju na hizo hela watumie kufanya usajili.
Wanatumia pesa zao kwa kwenda huko, wewe unakerwa na nini?
 
Back
Top Bottom