Tetesi: Kuna Fununu kuwa Serikali inadoctor Taarifa za makusanyo ya kodi

Kina fununu kuwa MOKILI FUMULAUHI anafanya mapenzi na mke wa jirani yake tena rafiki yake sanaaa...pia kwa sasa ana mpango wa kumuua huyo rafiki yake ili amiliki moja kwa moja mke huyo pamoja na mali zote za huyo best wake
Hebu tumuombe huyu Mokili aje akanushe taarifa hizi la sivyo tutaendelea kuziamini
Good Try Mimi sina Jirani zaidi ya yule Mama mzee Mjane, Kulia kwa nyumba yangu kuna Bababara, Kushoto Kuna Kituo cha zimamoto, Mashariki kuna Kanisa, Magharibi Kuna retreat ya Sheriff department. So good try! Nimependa ubunifu wako hata hivyo! Nimekupa like!
 
Sasa wewe umejificha nyuma ya key board huonekani, lakini unatka waziri ajitokeze wazi wazi kujibu hoja yako? Onesha jina lako halali wazi wazi, toa hoja yako ili waziri mwenye dhamana naye ajitokeze hadharani kujibu hoja yako. Vinginevyo utajibiwa na mawaziri waliojificha nyuma ya key board kama wewe.
Jina Langu Ni Mokili Fumulauhi, kwani nani Kakuambia sio Jina langu, Ulitaka liwe nini jina Langu ndio uamini? kama Mtu anaitwa Pombe au Maufuunguo na huhoji jina lake kama ni la kweli langu kwanini unahoji Ulitaka Niitwe Juma au John ndio uamini?
 
Akili mali hujui umuhimu wa takwimu ktk maisha yako,kweli tz tumebalikiwa kuwa na vilaza wa kila aina hata jpm ni product ya wa tanzania walio wengi kama ww
Brother Unaweza kuwa na hasira na serikali Hii,unao Uhuru wa kujieleza hapa JF ila chunga lugha unayoitumia,Uhuru ulionao chumbani kwako na simu yako au laptop yako usikufanye uhisi Upo huru kupitiliza,. Chunga sana lugha unayoitumia.Ni muhimu kuzingatia hilo.Serikali ipo na ipo makini.Ni hayo tu kwa sasa.
 
Huyu mleta mada ni wale wale wanajiamini kuwa nje ya nchi,IP address yako inaonyesha ulipo mpaka location coordinates,nyumba na chumba ulipo,aliyewadanganya kuwa ukiwa nje ya nchi Upo huru kulaghai na kuongea ovyo kuhusu serikali muulizeni vizuri amewapotosha sana.Muda utaongea,endelea na ulaghai wenu,ila jua yana mwisho,na ni mbaya sana.
 
Kuna Taarifa za Kuaminika Kuwa Serikali ya Awamu ya Tano imekuwa na Mtindo wa Kudoctor au kudressup taarifa za Makusanyo ya Kodi ili yaonekane ni kwenye tune ya Trilion na sio billions. Wamefanya hivi zaidi ya Mara tafu. Ningependa Waziri anayehusika aje hapa akanushe, au kama ni kweli atoe sababu za msingi za kufanya hivyo!

Umeandika udaku ambao ulikuwa unauwaza wakati unakata gogo toilet...
Unaandika uongo, uzandiki Na unafiki kwa makusudi ili Waziri aje kukanusha? Poor you ... Weka ushahidi wa ndoto zako hizo unazoota
 
Yaani hii ni sawa na mtu unaweka hela kwa dro baadae unaenda kwa mbinu za kiwizi unaiba ilihali unaishi mwenyewe. Afu kichwani unakuwa unaamini kuwa zile hela bado zipo kwa dro.
Tatizo la Nchi yetu ni ukubwa wa serikali kwahiyo wajikusanya trilioni moja plus bado fedha hizo hazikidhi mahitaji.Kwa muda mrefu serikali za mitaa hazija pelekewa fedha zozote za matumizi ya Kawaida!

Halafu watu wengi wamefunga biashara kwahiyo kwa vyovyote serikali mapato take lazima yashuke. Mauzo ya Petrol na diesel yameshuka sana kwahiyo yameathiri kodi.
 
Hata kama wana fake mwisho wa siku tatizo ni lako au lao. Kwani linakuhususu. Au unategemea mgao wowote kutoka katika trilioni hizo mzee. Vichwa vyetu vina mambo mengi ya kufanya. Usijaze brain zetu na junks kamanda
Kichwa chako ndio sio kizuri iweje ulipe kidi alafu usitake kujua kodi imetumika vipi
 
Kuna Taarifa za Kuaminika Kuwa Serikali ya Awamu ya Tano imekuwa na Mtindo wa Kudoctor au kudressup taarifa za Makusanyo ya Kodi ili yaonekane ni kwenye tune ya Trilion na sio billions. Wamefanya hivi zaidi ya Mara tafu. Ningependa Waziri anayehusika aje hapa akanushe, au kama ni kweli atoe sababu za msingi za kufanya hivyo!
Acha ujinga kijana. Wanao kutuma wanamaisha mazuri wewe unakuja jiumuza huku na tetesi uchwara
 
Acha ujinga kijana. Wanao kutuma wanamaisha mazuri wewe unakuja jiumuza huku na tetesi uchwara
Mjinga kweli umejuaje mimi Kijana? Na pili kama unayumwa mimi situmwagi na Kiumbe yeyote. Am nobody's bafoon or stooge.
 
Tatizo la Nchi yetu ni ukubwa wa serikali kwahiyo wajikusanya trilioni moja plus bado fedha hizo hazikidhi mahitaji.Kwa muda mrefu serikali za mitaa hazija pelekewa fedha zozote za matumizi ya Kawaida!

Halafu watu wengi wamefunga biashara kwahiyo kwa vyovyote serikali mapato take lazima yashuke. Mauzo ya Petrol na diesel yameshuka sana kwahiyo yameathiri kodi.
Very true
 
Hata kama wana fake mwisho wa siku tatizo ni lako au lao. Kwani linakuhususu. Au unategemea mgao wowote kutoka katika trilioni hizo mzee. Vichwa vyetu vina mambo mengi ya kufanya. Usijaze brain zetu na junks kamanda

Hawana sababu ya kututangazia kwamba wana pesa wakati hizo pesa hazi reflect maisha yetu ya kawaida kwenye huduma za kijamii
 
Umeandika udaku ambao ulikuwa unauwaza wakati unakata gogo toilet...
Unaandika uongo, uzandiki Na unafiki kwa makusudi ili Waziri aje kukanusha? Poor you ... Weka ushahidi wa ndoto zako hizo unazoota
Sina tatizo na utumbo ulioandika ila nakuongezea na hili ambalo nina uhakika nalo tena sio kwa kuambiwa mapato ya mwezi julai yalikuwa bilioni 700 lakini yaliyotangazwa ni tril.1.050. Lifanyie kazi hili ukishindwa njo kwenye PM nikuonyeshe kitu
 
Mapato hayawezi kufikia ya Serikali ya awamu ya nne kwasababu Magufuli anawapendelea sana Wanajeshi na kuwaahidi mishahara na malupulupu mengi wakati hawakusanyi kodi na kila siku anawakatisha tamaa, vitisho na kuwanyanayasa wakusanyaji wa mapato ndio maana watu maofisi wameamua kirelax ili kuona hao anaowaahidi atawalipi nini na mpaka lini?
 
Back
Top Bottom