HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,566
Samahani wadau, ningependa kujua ni nini hasa faida ya kuwa na nyumba ndogo? Binafsi naona kama nyumba ndogo ni resource consuming in terms of muda na pesa, pia zina inconviniences nyingi kwenye mahusiano. Naomba maoni yenu maana naona wengi wananyumba ndogo despite ya matatizo haya niliyoyaeleza.