Kuna faida za nyumba ndogo?

Ukiwa na nyumba ndogo ucwe na matatizo yako madogo madogo. kama hauna kisu cha kutosha kuwa mvumilivu, uctamani vitu usivyoviweza. Nyumba ndogo nnayo na nnaihudumia ipasavyo and I dnt feel a pinch.
 
Ukiwa na nyumba ndogo ucwe na matatizo yako madogo madogo. kama hauna kisu cha kutosha kuwa mvumilivu, uctamani vitu usivyoviweza. Nyumba ndogo nnayo na nnaihudumia ipasavyo and I dnt feel a pinch.
Naenda kusema kwa mama...
 
Kamuulize Jose Mourinho kuwa kwa nini anakuwa na wachezaji wa akiba ilhali anakuwa na 11 wa gharama kubwa wametimia uwanjani?
 
Du Kama hivyo ndivyo basi nyumba ndogo ni noma,nyumba kubwa tubadilike,tusifanye mazoea,tujitahidi kuboresha ,kesho fanya zaidi ya jana.Ingawa kwa upande mwingi hawa watu pia huwa hawaridhiki,kila ukijitahidi,pepo la nyumba ndogo likishamwingia basi,ukiigundua hii anatafuta nyingine.Msaka gamba jitahidini kuwa na huruma sometimes,tukishindana watoto nani atakuwa na muda nao.Au kola la mungu ni sisi wanawake kutupa majukumu ya kulea hizo familia?
 
wewe kama mwanaume huna tofauti na wanyama wa kiume. Kwa asili wanaume wanakua na mwanamke zaidi ya mmoja. Dhana ya mwanamke mmoja imeasisiwa na wazugu tu. Nadhani unaona hata divorce rate yao ni kubwa kwani wanalazimisha kitu kilicho kinyume na asili. Mwanaume ni variety,mwanaume umeletwa kusaidia wengine. Utakaaje na mmoja tu. Mwanaume ni taasisi.
Mambo ya cost ni seheme ya utamu wa nyumba ndogo.Babu zetu wa Kiafrika waliishi bila stress za mke mmoja. PATA NYUMBA NDOGO UONE UTAMU. ILA KUMBUKA KUA NA CONTROL.KAMA WEWE NI DESIGN YA KUPELEKWA PUTA NA WANAWAKE;HAIKUFAI. ILA KAMA WEWE NI MWANAUME WA UKWELI- GO AHEAD AND ENJOY.
 
Nyumba ndogo ni janga la kitaifa nadhani adhabu kali itolewe kwa wanaozini na waume za watu familia nyingi zina majonzi shida na matatizo kutokana na nyumba ndogo embu fikiria hili baba kamnunulia nyumba ndogo nyumba upanga wakati mkewe wa ndoa anakaa madongo kuinama na kisha anahamia upanga na kuitelekeza familia yake je si ingekuwa vyema hiyo nyumba ya upanga ikakaliwa na mke wa ndoa na wanaye na kufurahia matunda ya baba!!!!!!tena adhabu ya kifungo cha maisha jela inawafaa ili wasiwepo katika jamii kuvuga ndoa za watu!!!
 
Hii topic mpaka yaleta malue lue jinsi ilivochosha.... Genuinely....

Inaleta maluelue si kidogo, bali kuna watu wanataka kupata sababu ya kuhalalisha haya mambo.......................... hapo zinatafutwa sababu ili hata kesho watu waseme kwamba, hata JF member wengi walikiri kuwa ni halali kuwa na nyumba ndogo............... weshapata pa kusimamia..................

Nje ya mada:
Da' Asha mbona kimya umeadimila sana bana...........................au ndio maandalizi ya X-Mas na Mwaka mpya!? mambo ya Vekesheni Udzungwa?
 
Ila tukumbuke nyumba ndogo ni binadamu kama sie,na wakati mwingine kosa linakuwa la waumezetu,

Back
Top Bottom