Kuna anayewafahamu vizuri ForePlan Clinic ya Dr. Mwaka?

Hata mimi jamaaa naona ni kama wale wale kikombe cha babu. jamaa anatumia media sana kujitangaza. sasa hvi kahamia kwenye wanamziki.nimeona Diamond nae anamtangaza.
kuna usemi unasema kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza
 
Sembe zuga.hana lolote unjanja tu.
Magufuri tunaomba utumbue haya majipu ya drags.!!!! Ndo watu watujajua kizuri kip?na ujanja upi?!!!!!
 
Sijui kama ni kweli au LA. Mimi na mke wangu tulioana na tulikaa miezi 8 bila wife kushika mimba, wife alikuwa anapata maumivu makali sasa siku za hezi mpaka homa so madokta walitushauri azae ili tatizo liishe lakini hakushika mimba. Tulikuwa tunamsikia huyu Dr kwenye TV basi tukafunga safari mpaka kwake. Hatukumkuta yeye ila tuliwakuta wasaidizi wake, wife alipimwa na kukutwa na tatizo la kuto kubalance kwa hormone na kuwa na viuzibezibe kwenye mirija ya uzazi vinavyopelekea mayai yake kuwa weak na kutokuwa na mpangilio maalumu wa hedhi na yenye maumivu. Aliambiwa ni ngumu yeye kupata mimba bila matibabu. Alipewa dawa aina 12 akazitumie kwa miezi 10 ila pindi akihisi tu dalili za mimba asimame kutumia dawa Mara moja. Alitumia zile dawa kwa masharti aliyipewa kwa miezi 3 tu mimba ikanasa. Aliacha kutumia zile dawa, mimba ikakua, akajifungua na sasa mtoto ana mwaka mmoja. Tafakuri yangu, inawezeka dawa za Dr mwaka zimesaidia au ni mpango wa mwenyezi mungu au yote mawili kwa pamoja. All in all namwachia muumba.
 
haya sasa vijana wake washakuja kukujibu....ha ha ha business at work
 
Yote Tunasema Inshallah
 
Kukaa miezi 8 bila kufanikiwa kupata ujauzito ni kitu cha kawaida. Kitaalam ulitakiwa kushauriwa kusubiri angalau mwaka mmoja. As you can see mwezi wa 11 mimba imeingia.

Uliwahi mno kutafuta tiba na mtaalam wa kweli alipaswa kukushauri hivyo sio kukupa dawa.
 
Possible
 
What if alikuwa na tatizo kweli kama hao watu walivyosema?

Sisemi naamini sana huyo mtu but what if anatibu kweli?....si ni miti shamba tu hii hii waliyokuwa wanatumia babu zetu au anapiga ramli?
 
Itanisaidia nini nikiwa mnafiki. Amini unacho amini nawe utapona.
mke wake alinifurahisha sana kwenye kipindi cha yule mke wa kada wa chadema (wanawake live). nilimkuta wife anaangalia, kusikia wanamwongelea dr. mwaka nikasema nisikie....mkewe anasema, mwanzoni walipata shida sana na mumewe dr. mwaka kwasababu alikuwa hatambuliki, na alianza kutibu watu kwa kutumia quran, na alikuwa anasafiri kwenda kujifunza utabibu huo wa kuran Oman na maeneo ya kiarabu, wakamfukuza kule uarabuni, ikabidi aende akaongeze elimu India. na ni mganga ambaye ni kiongozi mojawapo wa wale wafuasi wa kingunge, waganga wa mitishamba. sasa huwa najiuliza, hivi kujiita doctor, ana maana gani, na dawa zake zimechunguzwa na TFDA na tbs? halafu, yeye ni mganga wa kienyeji au ni wa aina gani, na kama ni uganga wa kuran/quran, unapata tafsiri gani hapo, aje hapa aeleze yeye ana tofauti gani na shehe yahya na wengine wasoma majini. elimu za kiarabu magumashi sana aisee.
 
What if alikuwa na tatizo kweli kama hao watu walivyosema?

Sisemi naamini sana huyo mtu but what if anatibu kweli?....si ni miti shamba tu hii hii waliyokuwa wanatumia babu zetu au anapiga ramli?

Kubwa lililotupeleka kwake ni maumivu aliyokuwa anapata wife, siku tatu aendi kazini, kila mtu kwenye nyumba ninayoishi alijua wife yupo siku zake, iliniuma sana, kila tukienda hospital wanatuambia tukazae itaisha lakini mimba hainasi.
 
What if alikuwa na tatizo kweli kama hao watu walivyosema?

Sisemi naamini sana huyo mtu but what if anatibu kweli?....si ni miti shamba tu hii hii waliyokuwa wanatumia babu zetu au anapiga ramli?

Kila ugonjwa una definition yake. Ugumba au infertility/subfertility nayo ina definition yake. Kabla ya mwaka mmoja huwezi kujiita una tatizo la kubeba mimba. Kwahiyo huyu hakufit kwenye definition ya ugumba. Ushauri wa kwanza aliotakiwa kupewa ni kuwa mvumilivu angalau kwa mwaka mmoja.
 
Kwani alisema ana ugumba au alikuwa anapata maumivu? Au mimi ndio sijaelewa?
 
Soma vizuri uelewe

Mtu yeyote mwenye tatizo la kubeba mimba ni mgumba

Mimi nimesoma nimeelewa wewe unachong'ang'ania ni asubiri mwaka mzima yeye anakwambia mke wake alikuwa anapata maumivu wakati wa hedhi na akashauriwa hivi na hivi...akaenda kumuona huyo dokta kapewa dawa bahati nzuri kapone(japo hana uhakika kama ni hizo dawa) sasa alitaka aendelee kukaa na maumivu mwaka mzima kisa tu cha huo utaalamu unaosema wewe?
 
Back
Top Bottom