Mimi Kuna Mchungaji Mmoja SALA SALA Alijifanya Kuniombea Kwa Mkwara Kuwa Labda Akiniombea Nitaanguka Mwanamume Nimeombewa Zaidi Ya Dakika 7 Hivi Nimesimama Utadhani Mlingoti Wa Umeme Wa TANESCO Na Kilichofuatia Ilibidi Yule Mchungaji Aninong'oneze Sikioni Na Kuniambia Kuwa Nijiangushe Kwani Waumini Hawatamwamini Nikamjibu Sawa Akaniombea Tena Kidume Sikujiangusha Wala Nini Na Ibada Ikaishia Pale Pale Na Mpaka Leo Hataki Hata Kunisikia Kudadadeki.
ndio, unaangalia wapi kwenye mahitaji....Ubunifu katika ujasiriamali kwa afya za watu?
watakuja.....Si Mchezo! Kwahiyo Ubunifu Wake Yeye Ni Kwa Akina Dada, Mademu, Wake Na Akina Mama Zetu Tu? Basi Ngoja Nami Nibuni Kutibia Madume Wenzangu!
Na Usishangae Alimbandua Pia Bao Hizo Hizo Tatu! Anyway Pole Lakini Kwa Kuuguliwa Na Shemeji Yetu Kama Vipi Mlete Nimpe GENTAMYCINE.