Da Womanizer
JF-Expert Member
- May 24, 2010
- 1,577
- 148
Una share nini kwenye kampuni maana ulivyowapigia debe.Bei ni ile ile na ipi?
Wauzaji wote wanakwambia kama Bei ni CIF au FOB! na hata kama ni FOB utapewa kikokotoo kukusaidia kutokana na wapi unalipeleka gari lako. Ukweli ni kwamba kununua moja kwa moja JP ni nafuu, ila ukubali risk ya kuletewa gari tofauti, gari bovu, au kupoteza kabisa pesa, ukiogopa bassi wape faida kwa kuwachangia wasioogopa. Hata hivyo si lazima wote tuagize magari JP, wenzetu watakula wapi?!!!
Mimi naona sehemu nzuri ya kununua gari online ni tradecarview, unakutana na wauzaji wengi na machaguo kibao, nzuri zaidi siku hizi wana PAYTRADE unalipa kupitia kwao, na hawaachii pesa mpaka shipment iwe confirmed!