tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,134
- 280
Wanawake nchini Burundi wana mazoea ya kuwaandalia wenza wao kondoms wanaposafiri. Je, hiyo inamaanisha kuwa wanaume hawawezi kuvumilia? Na kitendo cha kupewa kondoms na mke hakiwezi kuonekana ni kuhalalisha tendo nje ya ndoa? Mnasemaje wana JF!