Kumtukana Rais Samia hadharani ni uhaini

Hoja kwa hoja ni sawa, ila sio hoja kwa matusi,
Tatizo wengi wanamtukana mh rais matusi ya nguoni, hivi hata kma unadai ni sahihi?
Serikali inasema mkataba bado, watu wamekazana nchi imeuzwa, ooh miaka mia, oooh milele halafu wanafatisha matusi ya nguoni kwa rais, hawa nina asilimia zote sio watanzania
Kuna jambo tunashindwa kuelewana.Utumiaji wa maneno na uchaguzi wa sehemu ya matumizi ni changamoto.Kuna maneno mimi nayatumia kwa ukawaida wake Ila wewe utadhani ni vinginevyo.
 
Uhuru usio na mipaka ni uhaini.

kuna kundi la wanasiasa, wanasheria, na baadhi ya viongozi wa dini,wanaojiita wanaharati wamegeuza uhuru wao wa kutoa maoni na kuwa jukwaa la kutoa matusi na kijaribu kumdhalilisha mh. Raisi.

Ninaomba mamlaka husika ziingilie kati na kuwachukulia hatua wanaotoa matusi Kwa kisingizio Cha kutoa maoni. pia vyombo vya habari na mitandao ambavyo huandika matusi vipelekwe Baraza la habari kujieleza.

watu watoe maoni bila kumtukuna mtu.Narudia uhuru usio na mipaka ni utumwa.

sisi pia ni wananchi Tunakuomba Mh Raisi chukua hatua Kwa wanaokutusi najua hua unapitia hapa ni matumaini yangu tutaona hatua zikichukuliwa kwa haraka.

cc waziri wa mambo ya ndani
cc IGP
cc waziri wa habari
Naona leo chawa mmemwaga huku mitandaoni na wote mna uzi wenye maudhui sawa! Mlipaswa kujitokeza wakati viongozi wa nchi hii wanapatikana kwa kupora chaguzi zetu. Mnaingia madarakani kwa njia chafu kuliko matusi, kisha mnataka heshima baada ya kupora chaguzi.
 
WIvu na udini ndio unawasumbua baadhi ya watu..wala tusizunguke!
Wivu wa cheo cha urais wa Tanzania kwani ni urais wa Marekani? Udini kwani hiyo bandari inauzwa ili iletwe dini gani?
 
Uhuru usio na mipaka ni uhaini.

kuna kundi la wanasiasa, wanasheria, na baadhi ya viongozi wa dini,wanaojiita wanaharati wamegeuza uhuru wao wa kutoa maoni na kuwa jukwaa la kutoa matusi na kijaribu kumdhalilisha mh. Raisi.

Ninaomba mamlaka husika ziingilie kati na kuwachukulia hatua wanaotoa matusi Kwa kisingizio Cha kutoa maoni. pia vyombo vya habari na mitandao ambavyo huandika matusi vipelekwe Baraza la habari kujieleza.

watu watoe maoni bila kumtukuna mtu.Narudia uhuru usio na mipaka ni utumwa.

sisi pia ni wananchi Tunakuomba Mh Raisi chukua hatua Kwa wanaokutusi najua hua unapitia hapa ni matumaini yangu tutaona hatua zikichukuliwa kwa haraka.

cc waziri wa mambo ya ndani
cc IGP
cc waziri wa habari
Ni kawaida si mmekataza watu kuandamana.
 
Kwangu Mimi ninapowaona Watu wanatoa hoja mpaka mishipa ya shingo inawashupaa na povu kibao huku wakichomekea matusi hata kama nilikuwa nawaamini naanza kuwachukia mno sijui kwanini namchukia anayefokafoka napenda mtu anayetema madini bila kuonesha jazba inawezekana wapo wengi wa aina yangu.
Jengeni hoja jameni tunazo akili za kuchambua mambo mazuri na mabaya msilazimishe mnacho amini nyie lazima kipite. Acheni kumshupali MTU, kumtusi,kudhalilisha naamini dhambi hizo hazita waacha bure zitawarudia kwa kiwango hichohicho.
 
Hata mamaako alitukanwa labour akiwa anakuzaa wewe, kutukanwa ni kawaida.
Au ulizaliwa machakani huko?

Hoja kwa hoja ni sawa, ila sio hoja kwa matusi,
Tatizo wengi wanamtukana mh rais matusi ya nguoni, hivi hata kma unadai ni sahihi?
Serikali inasema mkataba bado, watu wamekazana nchi imeuzwa, ooh miaka mia, oooh milele halafu wanafatisha matusi ya nguoni kwa rais, hawa nina asilimia zote sio watanzania
[/QUOTE
 
Huyu Mzanzibari masauno, anapotoa vitisho kwa waTanganyika wanaotetea rasilimali zao, NI haini namba moja, Mmenifahamu.
 
Hao watu wanashida sana , wanaulizwa mkataba ni wa muda gani kimya? Wanaulizwa kwa nini mgawe kwa mtu mmoja bandari zote za bahari na bandari za maziwa makuu kimya? Wanaulizwa mnaona mlichosaini kina faida kwa nchi hawajibu, wanakimbilia oohh kwakua mzanzibar haya kama mnajua ni mzanzibar kwa nini ayafanye hayo sehemu ambapo sio zanzibarutasikia ooohhh ni udini wanaulizwa kwani dini inaingiaje kwenye bandari wako kimya hawa jamaa wa ajabu kwelikweli
Tatizo liko hapo.
 
Hizi ndizo tafsiri za neno uhaini

1. Tendo la kusaliti nchi yako, mipango ya kupindua serikali

2. Tendo la kuvunja mkataba au kufanya jambo kinyume cha lile ambalo uliahidi kwa mfano kula amana ya mtu

Katika tafsiri zote mbili kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili, sioni hata moja inayoendana na tuhuma ulizozitaja...
Mleta mada NI mrupukaji, sijui labda anajua JF ni ya kama anavyofikiria yeye tu au labda ni ya watu wasiijielewa upstairs au labda kujipendekeza kwa bi mkubwa?🙄🤔
Anaanzisha kitu ambazi hata yeye mwenyewe ajui hilo alichokitamka ni nini hasa! Asante kwa kumtafsiria nini maana ya UHAINI
 
Back
Top Bottom