Kumheshimu mume ni raha sana

nmke akamletea mumewe maji yakunawa aliponawa akamwambia "ahsante mama nice " baba akanyanyuka akaenda kuchota maji yakunywa yale ya mezani yalikuwa yameisha. alivyokunywa akamletea mkewe akanywa mke " nakaa wapi nisome hapa kina nice wanasumbua mke akamwambia ngoja nikuandalie kule kwenye chumba cha wageni. baba kamsaidia mama kuleta meza na ufagio wakufanyia usafi.
wana watoto 3 tayari bado wanaheshimiana.

Mkiwa marafiki mbona maisha yatakua rahisi tu. Sasa unakuta libaba kama nyapala sijui nyampala lenyewe sheria tu, hiyo itakua utumwa sio heshima tena.
Hivi yale mapenzi ya mwanzoniii yanaishiaga wapi?
 
Kwa nini usisubiri raia wakutafutieeeeee

Hahahaaaaaaaaaaaaa! IM RETIRING YOU KNOW! Age is not so kind to me these days. Age comes with heavy responsibilities and 0 incentives. Not to mention deteriorating looks, and decreasing demand threats. WORKING HARD BECOMES NOT SO OPTIONAL FOR LADIES MY AGE!:israel: The way i see things i will be working my a.ss off for a longtime unless MY LUCK CHANGES FOR THE BETTER!:smile-big:
 
Hhahaaaaaaaa! Sasa ajifiche nini wakati sisi mashosti zake ndo anatukopa? Akijifanya mambo mazuri tunamdai fastaaa! Ukiukubali ukweli na kuuweka wazi watu wanauzoea na hawatokusumbua nao kabisaaa.

ameyataka na ataendelea kuwalamba soli hadi basi Ndoa anaitaka, bata anataka hela hana kazi ipo
 
Mistari mi3 ya.mwisho imenimaliza ngv..huyo ni mume au mpnz???khaa amejibu vbaya sijapenda kibaya zaidi kwa shoga zake..yeye ndo ana jiaibisha kukaa na mwanaume mzembe wakat yy ana uwezo

Sasa amfanyeje? Mwingine ukimpa mtaji kahonga. Kujishughulisha hataki.
Na wadada tunaolewa kwa msukumo wa jf maana kuuuutwa kutunanga.

Ndoa heshima hata akiolewa na msukule si kaolewa?????
 
huyo mama anajielewa, siyo hawa wa kisasa kila kitu afanyiwe na housegirl

we sikia tu wanavyoongea bila haya, eti anaheshimu anayemuheshimu!!

wanaume wa sikuhizi!! wanataka mwanamke arudi from kusaka hela aingie jikoni ampikie. kwakuwa mwanamke huyu ni robot.

ndomana nilienda kwenye nyumba moja mama kapika wali na ile nyama iliyochemshwa haijaungwa kaisevu hivyohivyo. hata kutia hoho inukie kashindwa. hahaaaa. jamani nimetoa siri za watu. sijui ndo mapishi wanaume wanajisifia kwa wake zao?

jamani kazi zinachosha. waacheni wake zenu wapumzike. maHousegirl muhimu.

mke atakupikia weekend. na wewe ukimpikia itapendeza hata zaidi.

Hivi yale mapenzi ya mwanzoniii yanaishiaga wapi?

eti!! wanaanzaga lini kuwa mabeberu? eti nyie mlio kwenye hizo hypocritical institutions tuambie. lini mliwachenjia wake zenu?
 
Nawachukia sana wanawake wanaopenda kuwadharau wanaume huku wakiwategemea kwa kila kitu. I hate them!
 
Dogo usimtukane mamba hujavuka mto.

Kayataka kweli dogo hajaongopa.
Kutaka bahati unajikuta unazima nyota.
Nyumba full kunununiana, hakuna cha mapenzi wala heshima. Kusogeza siku tu kila mmoja anajiuliza mwenzie atakufa lini.
Khaaaa!
 
Dogo usimtukane mamba hujavuka mto.

hahah mi nitajipanga na vifaa vya kuvukia hio methali ishapitwa na wakati (kidding) ila ukweli huyo dada namhurumia sana bendera fuata upepo tu ww umeolewa bata za club za nini kaa ulee ndoa kama mume hana pesa kwani ulilazimishwa kusema I Do kaeni pangeni mikakati nn kifanyike mchomoke kwenye huo ugumu
 
Kuna mwanamke wangu kila anachotaka nampa hadi gari ya kutembelea nimemunulia lakini ugomvi kila saa kisa anataka aheshimiwe yeye lakini kuniheshimu mimi anashindwa. Kwa kifupi ana ugomvi wa kijinga.
 
Kuna mwanamke wangu kila anachotaka nampa hadi gari ya kutembelea nimemunulia lakini ugomvi kila saa kisa anataka aheshimiwe yeye lakini kuniheshimu mimi anashindwa. Kwa kifupi ana ugomvi wa kijinga.

We naeeee!!
Si umuache??? Kwani wanawake wameisha???
HAKUPENDI HUNA HADHI YAKE.
Nimekushtua endelea kua zoba.

Nilishaaga.
 
Kuna mwanamke wangu kila anachotaka nampa hadi gari ya kutembelea nimemunulia lakini ugomvi kila saa kisa anataka aheshimiwe yeye lakini kuniheshimu mimi anashindwa. Kwa kifupi ana ugomvi wa kijinga.

Aisee mkisemaga hivi mlio kwenye ndoa mimi jasho la vigimbi linanitoka,for GOD sake sidhani kama ntaweza kuhimili hiyo mihekaheka ya humo ndoani.Lord give me strength!
 
Kwa kweli heshima kwenye ndoa Ni muhimu Sana,yaani kila mtu mume na mke wote wasimame nafasi Yao.Mimi ninaushuuda kwenye ndoa yangu ya miaka 16 sijawai kujutia ndoa yangu Ni burudani yaani kila simu Yuko honeymoon.haina maana atutofautiani laa kila mtu anasimamia misingi ya upendo na kuheshimiana

Safi sana! Maneno ya ki utu uzima katika ndoa si hayo...eeh hebu endelea kuwapa vijana wa kizazi cha dot com darasa la elimu ya ndoa pengine kidogo kidogo dozi itaanza kupanda:)
 
wanajamvi katika mizunguko ya hapa na pale leo nikaingia nyumba ya jirani, kuna jambo limenifurahisha sana likanikumbusha mawosia ya marehemu bibi yangu.

nilipoingia nilikuta watoto wamekaa pembeni washakula baba yao anamalizia kula, baada yakumaliza kula mke akamletea mumewe maji yakunawa aliponawa akamwambia "ahsante mama nice " baba akanyanyuka akaenda kuchota maji yakunywa yale ya mezani yalikuwa yameisha. alivyokunywa akamletea mkewe akanywa (haya yamefanyika ndani ya dkk chache kabla cjasema kilicho nileta kwa mama) mme anajiendeleza kimasomo akanwambia mke " nakaa wapi nisome hapa kina nice wanasumbua mke akamwambia ngoja nikuandalie kule kwenye chumba cha wageni. baba kamsaidia mama kuleta meza na ufagio wakufanyia usafi. mama akaniambia samahani subiri kidogo, kamuandalia mmewe sehemu yakujisomea ndipo akaja kunambia shoga unasemaje.
walinifurahisha sana kama sio unafiki ukizingatia wana watoto 3 tayari bado wanaheshimiana.
angekuwa mwingine angeanza kuongea na mimi wakati kisheria nikumsikiliza mumewe kwanza maana akikuwa anahitaji kuandaliwa sehemu yakusimea sio zaidi ya dakka 5. nimfano wakuigwa

Mrembo naona umelielewa kweli somo. Sasa nitafute mimi
 
Mleta maada kwa uelewa wangu hapa hawa wanaheshimiana na kuthaminana embu angalia hao kwenye bold.
 
Mleta maada kwa uelewa wangu hapa hawa wanaheshimiana na kuthaminana embu angalia hao kwenye bold.

Ndio maana nimewaambia wamekimbilia kwa mwanamke wakati mume mwenyewe unaona alivyo loving...kwa nini asiheshimiwe???? Hata Bible imesema mpende mkeo naye akuheshimu....wao wamekazana na mke sijui kafanya nini...kafanya nini...alichofanya na kusema mume hawaoni....
 
Heshima imeaapply kote sio kwa mke tu. Ila yeye ameona kwa mke.
 
Back
Top Bottom