Kumheshimu mume ni raha sana

Hee kashikwa akili sababu kamletea mkewe maji?mmh unanishangaza.
Mfano wa comment zao
-We ulijuaje kama hawakuigiziii hao kukaa nao dk 5 tu mbio jf kuanzisha sredi
-Wengi wanajitahidi kufanya hivyo mbele ya watoto ila huko ndani moto unawaka
-Mume kashikwa akili na mkewe huyooooo
-Bla bla bla bla bla
 
Mimi nilichokiona ni mume anamthamini sana mkewe ana nyama ya ulimi, mwanaume akiwa hivyo lazima mwanamke atampenda sana tu.
 
Anaheshmiwa ambae anaheshima, si unacheki hata maneno ya mme yanahamasisha kumheshimu...
 
Mmmmmmmmmmmmmmh!

KUMUHESHIMU MUME MWENYE MAHELA KUNAKUJA AUTOMATICALLY TU! Bila jitihada wala bidii binafsi. Manake unajua ukilegea tu NAFASI ISHAKAVWA KITAMBOOOO! Hata kama umenuna ukikumbuka mipea ya viatu isiyo na idadi, kabati la milango sita halifungi lilivoj minguo, simu gani iingie ukose, ukikohoa ushapata, hata atembeze kikojoleo chake mji mzima wala huondoki humo ndani, labda utembeze viwembe tu kwa wadada wa mujini, ila kuachia ngazi watasubiri sanaa. Utahangaikaje kumpulizia incase umechuja kakuchoka choka kimtindo, Utamlisha mizaga yote ya kilingeni atulize korodani, wa kufa na kuzikana.

KUMUHESHIMU MUME HANA KITU, UNAMUWEKA WEWE MJINI, HICHO SI TU KIPAJI NI KARAMA YA KIPEKEE! Lol! Inahitaji mtaala na twisheni juu, maana motivation ni 0. Alijisemea shoga angu saa 7 tunatoka harusini club aulizwa mumeo sawa hakumind huhisi atachepuka hivi usivokuwepo. Akajibu yule bwana mi ndo namuweka mjini, kama kuna mdada na akili zake atamlegezea ampige FREE P, namruhusu tu, maana siku mbili atamchoka na kuniachia, sana sana atanigea off hizo siku 2.

Ivi kwa mfano...wakati mme wako anakutokea ulikua bado chuo na yeye alikua anapesa na kazi nzuri ,yaani namaanisha amekuoa kakutoa nyumbani kwenu huna hata shuka.....mmeendelea kuishi kwa miaka kadhaa alafu wewe ukabarikiwa kupata kazi nzuri zaidi ya huyo mme wako ina maana hata kipato utamzidi. Unaendelea kumheshimu au utaona shida kumheshimu kwa sababu pesa yake haitoshi tena. Naomba uwafafanulie kina dada humu ndani maana usije ukawa unawapotosha wengine.... lara 1 jaribu sana kuwa mwangalifu na vitu unavyoandika humu.... kwa jinsi navyoangalia humu wewe ni kama role model humu..ni super star wa JF hivyo una fans. Sio mbaya kama wakati mwingine ukajaribu kuwasaidia wanawake wenzako wawe kwenye mstari sahihi. Naamini una nguvu na uwezo wa kufanya hivyo. Sio kwa ubaya lakini.
 
Last edited by a moderator:
ivi kwa mfano...wakati mme wako anakutokea ulikua bado chuo na yeye alikua anapesa na kazi nzuri ,yaani namaanisha amekuoa kakutoa nyumbani kwenu huna hata shuka.....mmeendelea kuishi kwa miaka kadhaa alafu wewe ukabarikiwa kupata kazi nzuri zaidi ya huyo mme wako ina maana hata kipato utamzidi. Unaendelea kumheshimu au utaona shida kumheshimu kwa sababu pesa yake haitoshi tena. Naomba uwafafanulie kina dada humu ndani maana usije ukawa unawapotosha wengine.... lara 1 jaribu sana kuwa mwangalifu na vitu unavyoandika humu.... Kwa jinsi navyoangalia humu wewe ni kama role model humu..ni super star wa jf hivyo una fans. Sio mbaya kama wakati mwingine ukajaribu kuwasaidia wanawake wenzako wawe kwenye mstari sahihi. Naamini una nguvu na uwezo wa kufanya hivyo. Sio kwa ubaya lakini.


lazima nimheshimu kama mume . Pesa itabaki kuwa pesa yeye ataendelea kuwa muuupenz
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi
katika mizunguko ya hapa na pale leo nikaingia nyumba ya jirani, kuna
jambo limenifurahisha sana likanikumbusha mawosia ya marehemu bibi
yangu.

Nilipoingia nilikuta watoto wamekaa pembeni washakula baba yao
anamalizia kula, baada yakumaliza kula mke akamletea mumewe maji
yakunawa aliponawa akamwambia "ahsante mama nice " baba akanyanyuka
akaenda kuchota maji yakunywa yale ya mezani yalikuwa yameisha.

Alivyokunywa akamletea mkewe akanywa (haya yamefanyika ndani ya dakika
chache kabla cjasema kilicho nileta kwa mama) mme anajiendeleza kimasomo
akanwambia mke " nakaa wapi nisome hapa kina nice wanasumbua mke
akamwambia ngoja nikuandalie kule kwenye chumba cha wageni. Baba
kamsaidia mama kuleta meza na ufagio wakufanyia usafi. Mama akaniambia
samahani subiri kidogo, kamuandalia mmewe sehemu yakujisomea ndipo akaja
kunambia shoga unasemaje.

Walinifurahisha sana kama sio unafiki ukizingatia wana watoto 3 tayari
bado wanaheshimiana.
Angekuwa mwingine angeanza kuongea na mimi wakati kisheria nikumsikiliza
mumewe kwanza maana akikuwa anahitaji kuandaliwa sehemu yakusimea sio
zaidi ya dakka 5. nimfano wakuigwa

mm sion kama ili ni jipya mbona haya ni mambo ya kawaida unaweza mfanyia hata rafiki tuu?
 
Ivi kwa mfano...wakati mme wako anakutokea ulikua bado chuo na yeye alikua anapesa na kazi nzuri ,yaani namaanisha amekuoa kakutoa nyumbani kwenu huna hata shuka.....mmeendelea kuishi kwa miaka kadhaa alafu wewe ukabarikiwa kupata kazi nzuri zaidi ya huyo mme wako ina maana hata kipato utamzidi. Unaendelea kumheshimu au utaona shida kumheshimu kwa sababu pesa yake haitoshi tena. Naomba uwafafanulie kina dada humu ndani maana usije ukawa unawapotosha wengine.... lara 1 jaribu sana kuwa mwangalifu na vitu unavyoandika humu.... kwa jinsi navyoangalia humu wewe ni kama role model humu..ni super star wa JF hivyo una fans. Sio mbaya kama wakati mwingine ukajaribu kuwasaidia wanawake wenzako wawe kwenye mstari sahihi. Naamini una nguvu na uwezo wa kufanya hivyo. Sio kwa ubaya lakini.

Hahahaaaaaaaaaaa! RELAX! Nimejaribu tu kuangalia upande wa pili wa shilingi. ITS NOT FAIR KUEXPECT SAME LEVEL OF RESPECT FROM WOMEN WITH HUSBANDS OF DIFFERENT ECONOMIC STATUS. Unamuonea mmoja. s long as the broke dudes wife hamfukuzi mumewe ndani ya nyumba that is more respect kuliko yule mke wa bwenyenye ITS NOT EASY LIVING WITH A BROKE DUDE.
 
Back
Top Bottom