TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,079
Ndiyo maana wanamzuria visa mara Stormy mara wavamie kwa mwanasheria wake...yaani wamemchanganya kweli. nadhani wanamfanyia hivyo ili hasiwe na nafsi murua kuhusu Syria. Tena huyo Bolton na mustach wake ndiye mbaya kabisa. Aliwahi kumtishia mkuu wa kwanza wa OPCW kuwa ajiudhulu vinginevyo wataishughulikia familia yake. Yule jamaa wa OPCW alikuwa 'kauzu', akamjibu kuwa familia yake tayari ina taarifa na iko tayari kwa chochote kitakachotokea. Akagoma kujiudhulu. Baadaye, Bolton alienda kutishia wajumbe wa OPCW wakatisha nadhani mkutano wa dharura na kumuondoa Mkuu yule. Hivyo Bolton...'siyo kabisa'!Na Trump nae anakuwa pressured kuwa akiachia hii kitu ipite ataonekana weak kwa Russia na allies wake. The place is in imminent danger of kichapo.