Kumekucha: Je, Marekani inajiandaa kuiadhibu kijeshi Syria?!

Heshima ktk dunia ya sasa ni kuwa na nyukria tu!ndio utaheshimika na wakubwa,la sivyo unapingwa wakati wowote wakitaka
 
..kwahiyo ndani ya masaa machache tutasikia la kutokea.
Mungu walinde watu wa Syria.

LUMUMBA

Kweli kabisa Yani Mungu awalinde watu wa Syria maana wao ndo wanaoumia na Wala sio huyo Assad

"There's nothing left for civilians and fighters. We don't have anything to stand fast," said Haitham Bakkar, an opposition activist inside the town. He spoke to the Associated Press via WhatsApp.

"People now are going out in the streets looking for their loved ones in the rubble," Bakkar said. "And we don't have any space left to bury them.." CBS
 
kuneutralize signal za Russia kumbe israel amebase kwa US,
pia manowari ya germany iko jiani kuungana na USS Harry truman carrier ambayo iko na escort ya manowary 7 zikija syria.
Mbona wanafanya kosa la kiufundi? Zote wanazilundika pamoja...! Si wana rahisisha kazi ya kuzizibiti hizo manuari.!?
 
Imebidi nicheke tu mkuu, eti wakimpiga Putin dunia itabaki salama salimin,

Ina maana Putin ndio kaivuruga Libya,Iraq, Afghanistan mpaka tuseme akiondoka dunia itakua na amani, nimejua naongea na watu wa dizain gani humu
Duu unajua kuna watu hawastahili kabisa kuwemo humu labda mmu na chitchat
 
A fully-armed Russian figher jet buzzed a French warship, hearing that the jets possibly had anti-ship missiles loaded.
Sweden imechomoa draft yake isipigiwe kura kwenye UNSC, draft ambayo ingeipa OPCW nguvu za kufanya uchunguzi huko Douma. Jambo hili limewashangaza Russia, maana walitegemea draft hiyo ipitishwe na OPCW wakafanye uchunguzi haraka.
---
Kweli kuna ill-motive, US anataka kurusha makombora syria.
 
Babak Taghvaee
@ BabakTaghvaee 28m
BREAKING: Today, [HASHTAG]#RussiaMOD[/HASHTAG] has asked Iran to provide access to IRIAF's 3rd Tactical Fighter Base in Hamedan to deploy its heavy bombers (probably Tu-22 or Tu-95), Il-78 tankers & use it as refuelling point for fighter jets which are planned to be deployed to Syria soon! ·

Update: It is also highly possible that Russian Air Force also needs to use IranAir Force 3rd Tactical Fighter Base as point of evacuation for its fighter jets if the Hmeimim Air Base comes under attack during any possible confrontation btw US& Russia in [HASHTAG]#Syria[/HASHTAG]

Israel Breaking
Israel is not expected to take part in any coaltion strikes on Syria, anonymous Israeli minister says. Belief is that Iran will attack Israel via Hezbollah in response to Syria airstrikes. Important security meetings to be held tomorrow on subject matter.
 
Babak Taghvaee
@ BabakTaghvaee 28m
BREAKING: Today, [HASHTAG]#RussiaMOD[/HASHTAG] has asked Iran to provide access to IRIAF's 3rd Tactical Fighter Base in Hamedan to deploy its heavy bombers (probably Tu-22 or Tu-95), Il-78 tankers & use it as refuelling point for fighter jets which are planned to be deployed to Syria soon! ·

Update: It is also highly possible that Russian Air Force also needs to use IranAir Force 3rd Tactical Fighter Base as point of evacuation for its fighter jets if the Hmeimim Air Base comes under attack during any possible confrontation btw US& Russia in [HASHTAG]#Syria[/HASHTAG]

Israel Breaking
Israel is not expected to take part in any coaltion strikes on Syria, anonymous Israeli minister says. Belief is that Iran will attack Israel via Hezbollah in response to Syria airstrikes. Important security meetings to be held tomorrow on subject matter.
 
Babak Taghvaee
@ BabakTaghvaee 28m
BREAKING: Today, [HASHTAG]#RussiaMOD[/HASHTAG] has asked Iran to provide access to IRIAF's 3rd Tactical Fighter Base in Hamedan to deploy its heavy bombers (probably Tu-22 or Tu-95), Il-78 tankers & use it as refuelling point for fighter jets which are planned to be deployed to Syria soon! ·

Update: It is also highly possible that Russian Air Force also needs to use IranAir Force 3rd Tactical Fighter Base as point of evacuation for its fighter jets if the Hmeimim Air Base comes under attack during any possible confrontation btw US& Russia in [HASHTAG]#Syria[/HASHTAG]

Israel Breaking
Israel is not expected to take part in any coaltion strikes on Syria, anonymous Israeli minister says. Belief is that Iran will attack Israel via Hezbollah in response to Syria airstrikes. Important security meetings to be held tomorrow on subject matter.
 
"There's nothing left for civilians and fighters. We don't have anything to stand fast," said Haitham Bakkar, an opposition activist inside the town. He spoke to the Associated Press via WhatsApp.

"People now are going out in the streets looking for their loved ones in the rubble," Bakkar said. "And we don't have any space left to bury them.." CBS
SAD!!
 
Babak Taghvaee
@ BabakTaghvaee 28m
BREAKING: Today, [HASHTAG]#RussiaMOD[/HASHTAG] has asked Iran to provide access to IRIAF's 3rd Tactical Fighter Base in Hamedan to deploy its heavy bombers (probably Tu-22 or Tu-95), Il-78 tankers & use it as refuelling point for fighter jets which are planned to be deployed to Syria soon! ·

Update: It is also highly possible that Russian Air Force also needs to use IranAir Force 3rd Tactical Fighter Base as point of evacuation for its fighter jets if the Hmeimim Air Base comes under attack during any possible confrontation btw US& Russia in [HASHTAG]#Syria[/HASHTAG]

Israel Breaking
Israel is not expected to take part in any coaltion strikes on Syria, anonymous Israeli minister says. Belief is that Iran will attack Israel via Hezbollah in response to Syria airstrikes. Important security meetings to be held tomorrow on subject matter.
Nahisi US kamshataarifu Russia kwamba anataka kupiga makombora ndo maana Russia anatafuta sehemu mbadala pa kuweka vifaa vyake

European Aviation Safety Agency (EASA) Issues rapid alert notification for "Eastern Mediterranean/Nicosia FIR Area" due to possible airstrikes on Syria in next 72 hours.

According to the agency, the alert was issued "due to the possible launch of airstrikes with air-to-ground and/or cruise missiles within the next 72 hours, and the possibility of intermittent disruption of radio navigation equipment, due consideration needs to be taken when planning flight operations in the Eastern Mediterranean/Nicosia FIR area"
 
MASWALI NINAYOJIULIZA MPAKA SASA:

Mosi,
Unahisi Marekani anaweza kupigana vita nchini Syria kirahisi wakati Uturuki hayuko upande wake ???

Pili,
Marekani kama atapigana moja kwa moja basi itabidi Israel ahusike moja kwa moja. Je, unahisi Israel atakubali kupambana na Urusi moja kwa moja wakati Waziri wake Mkuu Benjamin Netanyahu na Waziri wa Ulinzi Avigdor Lieberman walikubaliana na Urusi kwamba hatapeleka silaha nzito Iran ambazo hazitaharibu uwiano wa nguvu kati ya mataifa hayo. Hapa inategemea sana Israel ataishije na majirani zake (Haya ndiyo makubaliano). Je, Israeli hatakuwa anahatarisha Usalama wake ???

Tatu,
Wakivamia nchini Syria bila ruhusa ya Umoja wa Mataifa unadhani Ulaya kutakuwa salama dhidi ya mashambulizi ya Ugaidi hasa hasa kipindi hiki kuna wakimbizi wengi kutoka Syria barani Ulaya ???

Nne,
Kutokana na swali la tatu hapo juu,
Je, unadhani Ulaya (Continental Europe) watakubali kushirikiana na Marekani katika Umoja wao ilhali wakijua dhahiri madhara yatakayotokea nchi kwao endapo watashirikiana na Marekani kuvamia Syria ???

Tano,
Kama Marekani taifa lililo kubwa hapa duniani limedharau Umoja wa Mataifa na kuvamia Syria kwa mwamvuli wa kutoa msaada wa kibinadamu (Humanitarian Intervention) unadhani Mataifa mengine hayatawiwa kufanya hivyo kweli ?
Maana Adolf Hitler aliwahi kuvamia Czechslovakia mwaka 1939 akisema anaenda kutoa msaada wa kibinadamu (Humanitarian Intervention) kama ambavyo Marekani anajitanabaisha leo.

Sasa hebu tuyaangalie haya mambo kwa mapana,
Kama Marekani atafanya hivi huko nchini Syria bila kuheshimu Sheria za Kimataifa.
Unadhani nini kitamzuia Urusi asivamie nchi ya Ukraine kwa mwamvuli huo huo wa kutaka kufanya msaada wa kibinadamu (Humanitarian Intervention) hasa kwa Warusi wanaoishi nchi Ukraine ??? Hapa usiseme atashindwa maana alivamia mwaka 2014 na dunia nzima haikufanya kitu chochote kijeshi kwasababu ya kuepusha vita.
Mfano wa pili unadhani nini kitamzuia nchi kama Uchina Kuvamia Taiwan kwa mgongo huo huo wa msaada wa kibinadamu (Humanitarian Intervention) ???

Mwisho kabisa,
Unadhani Marekani anaweza kuhatarisha Usalama wake na dunia nzima na kusababisha vita ya dunia kisa tu Syria ???
Unakumbuka Professor James Steinberg, Joseph Nye na wenzao walipotumwa nchini Uchina kwenye Wizara ya Ulinzi ya Uchina mwaka 2012 walisemaje kuhusiana na Ugomvi wa Uchina na Japan kuhusiana na visiwa vya Senkanku ???
(Basi ukisoma ambacho hawa watu waliowahi kufanya kazi kwenye vyombo vya Ulinzi vya Marekani kama maafisa waandamizi unaweza kuelewa kabisa Saikolojia ya Marekani ikoje kwa sasa kuhusiana na kupigana Vita)

NB: Jana The Red Crescent wametoa habari za kitafiti kwamba wale watoto walioshambuliwa Idlib walipimwa na madaktari lakini hawakukutwa na kemikali ya Chlorine ambayo Rex Tillerson na The White Helmets walidai imetumika. Hivyo kama Shirika la Kimataifa linaloaminika na Umoja wa Mataifa limesema kwamba hakukuwa na Shambulio la kikemikali mwezi Februari. Je, tuamini kwamba kuna shambulio la Kemikali huko Douma bila uchunguzi wowote ule ??
We jamaa una akili nyingi mno
 
Baada ya US kutaka baraza la usalama liidhinishe kwa kura matumizi ya kijeshi syria na Russia kugoma katakata,
kuna dalili hili shambulizi likasogezwa mbele japo tena inaweza kuwa poteza maboya kwa Russia ili asidhani kuwa ishu inaweza kuwa leo.baada ya US kusema kuwa Trump ataamua hivi karibuni lini atachukua hatua za kijeshi dhidi ya syria,

Russia wamejam anga la syria kwa electronics,na hivyo marekani wanalalamika kuwa drone zao zina flyblind baada ya signal kuwa jammed,

ndege ya israel ya Early warning pia imeonekana kwa mda maeneo kabla haijaondoka ,nadhani wakijaribu kuneutralize signal za Russia kumbe israel amebase kwa US,
pia manowari ya germany iko jiani kuungana na USS Harry truman carrier ambayo iko na escort ya manowary 7 zikija syria.

Russia wamesema watajibu kwa kulenga manowari na ndege za marekani,ila hawadhani kama watatumia nuclear weapons,
note neno,HAWADHANI.

[HASHTAG]#SyriaFULL[/HASHTAG] wrap-up: •Decision imminent on Military action •US-France-UK consultations as UNSC efforts stall •Saudi on board; Qatar “see eye to eye” w Trump •Mattis cancels weekend travel, Russia jams Syria airspace thenational.ae/world/the-amer….

intel doge
@ inceptiiion 23s
[HASHTAG]#CONFIRMED[/HASHTAG]: A fully-armed Russian figher jet buzzed a French warship, hearing that the jets possibly had anti-ship missiles loaded.
Let them come, let's open a new chapter and write the history. Mkuu Elungata, Putin alisema kipindi cha uchaguzi kwamba rafiki yao atakayeshambuliwa ni kama kuishambulia Russia na hawatasita kujibu mapigo, again S-57 fighter jets nafikiri zipo Syria zikisubiria amri tu, again juzi hapa waziri wa ulinzi wa China alikutana na mwenzake wa urusi akasema wapo tayari kuisaidia Russia kwa namna yoyote ile, na ikimbukwe kipindi hichi China na Marekani ni mwendo wa vikwazo tu. it's better we pray ili haya yasitokee, naamini kabisa kama Russia atajibu mapigo it won't be war between NATO and Russia it gonna be a Global conflict, coz naona Israel anaweza kutumia nafasi hii kwenda kuipiga Irani, even though is not an overnight process but it may happen.
 
Babak Taghvaee
@ BabakTaghvaee 28m
BREAKING: Today, [HASHTAG]#RussiaMOD[/HASHTAG] has asked Iran to provide access to IRIAF's 3rd Tactical Fighter Base in Hamedan to deploy its heavy bombers (probably Tu-22 or Tu-95), Il-78 tankers & use it as refuelling point for fighter jets which are planned to be deployed to Syria soon! ·

Update: It is also highly possible that Russian Air Force also needs to use IranAir Force 3rd Tactical Fighter Base as point of evacuation for its fighter jets if the Hmeimim Air Base comes under attack during any possible confrontation btw US& Russia in [HASHTAG]#Syria[/HASHTAG]

Israel Breaking
Israel is not expected to take part in any coaltion strikes on Syria, anonymous Israeli minister says. Belief is that Iran will attack Israel via Hezbollah in response to Syria airstrikes. Important security meetings to be held tomorrow on subject matter.

Nahisi US kamshataarifu Russia kwamba anataka kupiga makombora ndo maana Russia anatafuta sehemu mbadala pa kuweka vifaa vyake

European Aviation Safety Agency (EASA) Issues rapid alert notification for "Eastern Mediterranean/Nicosia FIR Area" due to possible airstrikes on Syria in next 72 hours.

According to the agency, the alert was issued "due to the possible launch of airstrikes with air-to-ground and/or cruise missiles within the next 72 hours, and the possibility of intermittent disruption of radio navigation equipment, due consideration needs to be taken when planning flight operations in the Eastern Mediterranean/Nicosia FIR area"

Hawa watu wamekunukisha haswa.
Naona sasa cha kujiuliza ni, who else will be in. Naona Mu Israel atakaa kando.
 
Israel on High Alert, Prepares for Possible Iranian Retaliation After Strike on Syrian Base- HAARETZ

Mambo si Mambo huko middle East Yani kila sehemu kumenuka. Israel nae anajitaarisha kusubiria Kama Iran ikilipiza kisasi bhasi iwajibu
 
Let them come, let's open a new chapter and write the history. Mkuu Elungata, Putin alisema kipindi cha uchaguzi kwamba rafiki yao atakayeshambuliwa ni kama kuishambulia Russia na hawatasita kujibu mapigo, again S-57 fighter jets nafikiri zipo Syria zikisubiria amri tu, again juzi hapa waziri wa ulinzi wa China alikutana na mwenzake wa urusi akasema wapo tayari kuisaidia Russia kwa namna yoyote ile, na ikimbukwe kipindi hichi China na Marekani ni mwendo wa vikwazo tu. it's better we pray ili haya yasitokee, naamini kabisa kama Russia atajibu mapigo it won't be war between NATO and Russia it gonna be a Global conflict, coz naona Israel anaweza kutumia nafasi hii kwenda kuipiga Irani, even though is not an overnight process but it may happen.
Mkuu Su-57 hazipo Syria warusi waliziondoa,zilikaa siku mbili au Tatu Kama sikosei wakaziondoa
 
Back
Top Bottom