Julius Magembe
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 284
- 394
Sidhani kama kuna lolote kubwa litalotokea!
Many Americans are tired of military conflicts.
Many Americans are tired of military conflicts.
Unajua sasa nani kafanya au nawe unaamini CNN
Nimetukana kikwetu dah mwambieni Babu yake Ze kokuyo, Trump afanye fasta kuishambulia kwa mizinga mizito SyriaMziki umefika kati aseeh!
Huku Mrusi nae anasema there'll be major consequences in case anything happens to Syria..
Marekani akiamua kuishambulia Syria,Russia hawezi ifanya kitu US.
Ila hapo watakaoumia Ni Raia wa Syria maana fahari wawili wakipigana nyasi ndo zinaumia.
Russia, US,Iran na Turkey wote wapo Syria kwa maslahi yao na Wala si kwa maslahi ya Syria.
Tujaribu kua wakweli, Turkey hakua ndumilakuwili, alikua ni member mtiifu kwa NATO na Uturuki ndio nchi yenye wanajeshi wake wengi NATO kuliko nchi yoyote mwanachama. Mpaka kufikia hatua kutungua ndege ya Urusi anaeza asiwe vipi mwnachama tiifu..?Uturuki haiaminiki kabisa ile Ni ndumi la kuwili ndo maana Marekani alikataa kuiuzia mitambo ya kisasa ya kuzuia makombora. Hata NATO kwenyewe sio mshirika ambae wanamtegemea Sana ndo maana Kuna baadhi ya issue hawaishirikishi.
Naona na Russia nao washamuona Erdogan ni ndumi la kuwili.
Nimetukana kikwetu dah mwambieni Babu yake Ze kokuyo, Trump afanye fasta kuishambulia kwa mizinga mizito Syria
Hujui siasa za kimataifaMarekani akiamua kuishambulia Syria,Russia hawezi ifanya kitu US.
Ila hapo watakaoumia Ni Raia wa Syria maana fahari wawili wakipigana nyasi ndo zinaumia.
Russia, US,Iran na Turkey wote wapo Syria kwa maslahi yao na Wala si kwa maslahi ya Syria.
Huyu alitubu mwaka juzi BBC kua walichokifanya Iraq 2003 hakikua sahihi walikosea.Leo anaomba kifanyike kile kile kilichomfanya yeye hatubu makosa yake mwaka juzi
Babu yuko busy na akina Mad Dog wanapanga mipango ya kurusha mizingaNimetukana kikwetu dah mwambieni Babu yake Ze kokuyo, Trump afanye fasta kuishambulia kwa mizinga mizito Syria
HahahahahahahahahahahahahahahahahahahaBabu yake Kokuyo anatunga sheria saa hii, akitoka hapo jibu lake mie hata naogopa kusema atafanya nini..
Hakuna wingi wa damu zinazo mwagika utakao weza kuzuia Wamarekani waache kushambulia nchi zingine.
Waliishambulia Iraq watu wengi walikufa na mpaka sasa nchi iko ovyo ovyo tu. Wakafanya hivyo Afghanistan na Libya pia. Sasa wanajiandaa kwenda kumwaga damu zaidi Syria.
Na wewe kwa akili yako unadhan assad anaweza kufanya hicho kitu?? Hasa ukizingatia hali ilivyo syria?? Nijibu mkuu kama kweli unatumia akili kufikiri!!Mi kwa upande wangu....pamoja na mabaya yote ya marekani lkn hili la syria kutumia silaha za kemikali dhidi ya raia ni la kiunyama sana......waadhibiwe
Vipi ile mikwara yake aliyokuwa anampiga Mr Rocketman imeishia wapi ?Trump kasema
Putin will suffer and everybody will..
CNN
Hahaha ana bweka tu huyo subiri utaonaBabu yake Kokuyo anatunga sheria saa hii, akitoka hapo jibu lake mie hata naogopa kusema atafanya nini..
Hahahahhahaha wanataka kurusha kitu kizito huko hewani ndani ya maongezi au nje ya maongezi Babu yako ana wakati mgumu sana!Babu yuko busy na akina Mad Dog wanapanga mipango ya kurusha mizingaHahahahahahahahahahahahahahahahahahaha