Kumekucha CCM Arusha: Chatanda usituingilie - UVCCM Arusha

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
MAMBO ndani ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM, (UV CCM) mkoani Arusha imezidi kuwa si shwari baada ya kikao cha baraza lao la mkoa kumkataka katibu wa CCM Mkoani hapa, Mary Chatanda kuacha kuwaingilia .

Aidha, wamemtaka ahudhurie vikao vya kikatiba vinavyomtambua kama mshauri wa jumuiya hiyo na atimize majukumu yake ya ulezi bila kubagua kwa madai kuwa mivutano ndani ya jumuiya hiyo imekuwa endelevu na inataka kufanana na ile ya Palestina na Israel.

Hayo yalisemwa juzi kwa nyakati tofauti na Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, Robinson Meitinyiku na Katibu wa karatu , Ally Rajab wakitoa msimamo na maazimio ya kikao chao cha siku moja .

Kwa mtu anayefuatilia siasa za Arusha ni wazi kabisa bila Chatanda mambo haya yasingetokea;

a) CCM wangekosa nguvu na harakati za kumweke meya japo rafu hata ilitumika, maana yeye alikuwa anaongeza idadi ya madiwani kama mbunge wa viti maalumu CCM.

b) Meya wa jiji la Arusha sijui ingekuwaje maana Chitanda anatajwa sana kwenye hili,

c) Labda hata mauaji yasingetokea maana CCM wangesema tazama tuko wachache sana hata tukiwashawishi upinzani hadidu haitatimia kabisa.

NIONAVYO.

Hata zamani Chatanda alikuwa haguswi kwa sababu alikuwa anahitajika sana katika siasa za Arusha pamoja na ukweli kwamba uwezo wake kama kiongozi ni wa mashaka makubwa sana. Huyu ni kama alikuwa ni daraja,watu tayari wamevuka mto wenye mamba wengi,wanaona kwa muda huu hawawezi tena kurudi na kuuvuka huo mto.

Kwa hiyo wanachokifanya UVCCM ni kusema daraja tulilotumia halifai tena na lazima libomolewe tukitudi tukute daraja la kisasa lasivyo tutazama kabisa. Hata mwanzoni najua wangesema tu tatizo wakubwa wao walisema,nani angesema daraja hili halifai?. Yoyote angediliki kusema hivyo angezamishwa kabisa wakati ule kwa namna yoyote ile.

Huyo Robinson kafukuzwa hapa mzumbe tuli soma naye ccm wasipoteze muda Wa mfukuze tuu
 
Tatizo la ccm ni uwongo, unafiki na hila. Siku zote ccm imekuwa na sura nyilngi, kinachoongelewa hadharani, kinachoongeleea ndani na kilichoko mioyoni mwa watu ni tofauti!.

Mivutano haiwezi kuletwa na Mary Chatanda. Kwa ccm, inawezekana wanampiga vita ili awapishe wafanye wayatakayo ambayo Mary haafikiani nayo.

Ccm kwa rushwa na majungu ni nambari moja.
 
Hivi hakunaga namna yeyote yakumpata katibu mwingine,yani kila siku chatanda chatanda...
 
Kwa mtu anayefuatilia siasa za Arusha ni wazi kabisa bila Chatanda mambo haya yasingetokea;

a) CCM wangekosa nguvu na harakati za kumweke meya japo rafu hata ilitumika, maana yeye alikuwa anaongeza idadi ya madiwani kama mbunge wa viti maalumu CCM.

b) Meya wa jiji la Arusha sijui ingekuwaje maana Chitanda anatajwa sana kwenye hili,

c) Labda hata mauaji yasingetokea maana CCM wangesema tazama tuko wachache sana hata tukiwashawishi upinzani hadidu haitatimia kabisa.

NIONAVYO.

Hata zamani Chatanda alikuwa haguswi kwa sababu alikuwa anahitajika sana katika siasa za Arusha pamoja na ukweli kwamba uwezo wake kama kiongozi ni wa mashaka makubwa sana. Huyu ni kama alikuwa ni daraja,watu tayari wamevuka mto wenye mamba wengi,wanaona kwa muda huu hawawezi tena kurudi na kuuvuka huo mto.

Kwa hiyo wanachokifanya UVCCM ni kusema daraja tulilotumia halifai tena na lazima libomolewe tukitudi tukute daraja la kisasa lasivyo tutazama kabisa. Hata mwanzoni najua wangesema tu tatizo wakubwa wao walisema,nani angesema daraja hili halifai?. Yoyote angediliki kusema hivyo angezamishwa kabisa wakati ule kwa namna yoyote ile.
 
Hakuna ccm Arusha wameshafutika kabla hata hatujawa delete..hehehehe:A S wink::A S wink:
 
MAMBO ndani ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM, (UV CCM) mkoani Arusha imezidi kuwa si shwari baada ya kikao cha baraza lao la mkoa kumkataka katibu wa CCM Mkoani hapa, Mary Chatanda kuacha kuwaingilia .

Aidha, wamemtaka ahudhurie vikao vya kikatiba vinavyomtambua kama mshauri wa jumuiya hiyo na atimize majukumu yake ya ulezi bila kubagua kwa madai kuwa mivutano ndani ya jumuiya hiyo imekuwa endelevu na inataka kufanana na ile ya Palestina na Israel.

Hayo yalisemwa juzi kwa nyakati tofauti na Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, Robinson Meitinyiku na Katibu wa karatu , Ally Rajab wakitoa msimamo na maazimio ya kikao chao cha siku moja .
MAMBO ndani ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM, (UV CCM) mkoani Arusha imezidi kuwa si shwari baada ya kikao cha baraza lao la mkoa kumkataka katibu wa CCM Mkoani hapa, Mary Chatanda kuacha kuwaingilia .

Aidha, wamemtaka ahudhurie vikao vya kikatiba vinavyomtambua kama mshauri wa jumuiya hiyo na atimize majukumu yake ya ulezi bila kubagua kwa madai kuwa mivutano ndani ya jumuiya hiyo imekuwa endelevu na inataka kufanana na ile ya Palestina na Israel.

Hayo yalisemwa juzi kwa nyakati tofauti na Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, Robinson Meitinyiku na Katibu wa karatu , Ally Rajab wakitoa msimamo na maazimio ya kikao chao cha siku moja .

Habari za magamba hazina mvuto, lete namna CHADEMA inavyojianda kupata maandalizi viongozi bora hasa vijijini
 
Wataparulana sana mwaka huu

BACK TANGANYIKA
Katuni+April+4+%281%29.jpg
 
Back
Top Bottom