mimimkuu
Member
- Oct 12, 2010
- 38
- 9
Kijana hujui ulisemalo, Chunguza kwa nini ccm ilishinda Arumeru! Nakuhakikishia hilo Jimbo ni la Chadema na Tumwombe mola uzima.
Time will tel
Kijana hujui ulisemalo, Chunguza kwa nini ccm ilishinda Arumeru! Nakuhakikishia hilo Jimbo ni la Chadema na Tumwombe mola uzima.
Wakuu nipo hapa Arusha siku ya 4 sasa na nimetembelea sehemu kadha wa kadha. Hakika CCM wako vizuri sana kwani baada ya Bw. Mwigulu kupita huku, vijana wamerhamasika kupita kiasi na wengi wamerudisha kadi zao za CDM. Pita maeneno ya Kikatiti, maji ya chai,Usa, Leganga, Kilala, King'ori, Ngarenanyuki,, kwa Pole, Maroroni,Ngurdoto kote hukpo wimbo ni CCM tu. Si dalili nzuri kwa upinzani hasa kuelekea uchaguzi mdogo
ndo huyu jamaa aliyekamatwa anamla mwanakondo wa kada mwenzake kule igunga? aisee wana CCM Arumeru fungieni wake zenu jamaa ni Nomaaa......nomaaaa.......Wakuu nipo hapa Arusha siku ya 4 sasa na nimetembelea sehemu kadha wa kadha. Hakika CCM wako vizuri sana kwani baada ya Bw. Mwigulu kupita huku, vijana wamerhamasika kupita kiasi na wengi wamerudisha kadi zao za CDM. Pita maeneno ya Kikatiti, maji ya chai,Usa, Leganga, Kilala, King'ori, Ngarenanyuki,, kwa Pole, Maroroni,Ngurdoto kote hukpo wimbo ni CCM tu. Si dalili nzuri kwa upinzani hasa kuelekea uchaguzi mdogo
kazi ipo.
kuijua mitaa ya arumeru sio kigezo cha kutoa mada ya uongo acha ubwege wewe kama mapenzi yako kwa magamba ni yako tu usiusemee umma wa wa arumeru yambaaff!!!
Wakuu nipo hapa Arusha siku ya 4 sasa na nimetembelea sehemu kadha wa kadha. Hakika CCM wako vizuri sana kwani baada ya Bw. Mwigulu kupita huku, vijana wamerhamasika kupita kiasi na wengi wamerudisha kadi zao za CDM. Pita maeneno ya Kikatiti, maji ya chai,Usa, Leganga, Kilala, King'ori, Ngarenanyuki,, kwa Pole, Maroroni,Ngurdoto kote hukpo wimbo ni CCM tu. Si dalili nzuri kwa upinzani hasa kuelekea uchaguzi mdogo
Wakuu nipo hapa Arusha siku ya 4 sasa na nimetembelea sehemu kadha wa kadha. Hakika CCM wako vizuri sana kwani baada ya Bw. Mwigulu kupita huku, vijana wamerhamasika kupita kiasi na wengi wamerudisha kadi zao za CDM. Pita maeneno ya Kikatiti, maji ya chai,Usa, Leganga, Kilala, King'ori, Ngarenanyuki,, kwa Pole, Maroroni,Ngurdoto kote hukpo wimbo ni CCM tu. Si dalili nzuri kwa upinzani hasa kuelekea uchaguzi mdogo
Wakuu nipo hapa Arusha siku ya 4 sasa na nimetembelea sehemu kadha wa kadha. Hakika CCM wako vizuri sana kwani baada ya Bw. Mwigulu kupita huku, vijana wamerhamasika kupita kiasi na wengi wamerudisha kadi zao za CDM. Pita maeneno ya Kikatiti, maji ya chai,Usa, Leganga, Kilala, King'ori, Ngarenanyuki,, kwa Pole, Maroroni,Ngurdoto kote hukpo wimbo ni CCM tu. Si dalili nzuri kwa upinzani hasa kuelekea uchaguzi mdogo
Usafi wa dume la mende barabarani lakini analala juu ya kinyesi..Wakuu nipo hapa Arusha siku ya 4 sasa na nimetembelea sehemu kadha wa kadha. Hakika CCM wako vizuri sana kwani baada ya Bw. Mwigulu kupita huku, vijana wamerhamasika kupita kiasi na wengi wamerudisha kadi zao za CDM. Pita maeneno ya Kikatiti, maji ya chai,Usa, Leganga, Kilala, King'ori, Ngarenanyuki,, kwa Pole, Maroroni,Ngurdoto kote hukpo wimbo ni CCM tu. Si dalili nzuri kwa upinzani hasa kuelekea uchaguzi mdogo
Wakuu nipo hapa Arusha siku ya 4 sasa na nimetembelea sehemu kadha wa kadha. Hakika CCM wako vizuri sana kwani baada ya Bw. Mwigulu kupita huku, vijana wamerhamasika kupita kiasi na wengi wamerudisha kadi zao za CDM. Pita maeneno ya Kikatiti, maji ya chai,Usa, Leganga, Kilala, King'ori, Ngarenanyuki,, kwa Pole, Maroroni,Ngurdoto kote hukpo wimbo ni CCM tu. Si dalili nzuri kwa upinzani hasa kuelekea uchaguzi mdogo
Huyu mtoa mada nafkiri hana akili manake mimi natoka Arumeru na huku ukisema ccm unaweza ukauwawa wandugu labda aseme yeye yuko wapi