Kumejiri nini miss world

Mwana kinyonga

JF-Expert Member
Sep 19, 2011
377
216
Habari wana jf,ningependwa kujuzwa nn kilijiri pande za london jana usiku,miss tz aliwakilisha vp taifa.
 
kamiminwa mbaaaaya.....................miss word ni bibie toka VENEZUELA
MIss world 2011.jpg
 
Back
Top Bottom