gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 617
- 1,034
Haya bhana😂Ni Leo tu nilipata off kazini na nikapata Bando la mkopo.
Hizo zote nimeandika leo ili kumchalenge Babu.
Wewe kina kuuma nini kwani?
Haya bhana😂Ni Leo tu nilipata off kazini na nikapata Bando la mkopo.
Hizo zote nimeandika leo ili kumchalenge Babu.
Wewe kina kuuma nini kwani?
Nakutakia Mfungo wa Mwezi wa Ramadhani mwema.Haya bhana
Hizo mada kama ingekuwa ni nchi zenye kujali basi zingetengenezea muvi.Mzee Mohammed, tunafaidika sana na nyuzi zako kama hizi. Kwani zinatupa nadharia maisha yalivyokua jijini miaka hiyo na watu mashuhuri waliokuwepo.
Sijaona lolote la udini hapa zaidi ya mtu mashuhuri amewakirimu watu kwake.
Kuna watu humu wakisikia hata neno 'futari' basi dira ya akili zao inaelekea kwenye udini.
Mzee wetu endelea kutujuza na Mungu akulinde. Tumejifunza mengi kutoka kwako.
Tanga...Anachofikiria sijui nini. He is missing a point. Kuna mambo yakishatokea, ndio byebye. Yeye anang'ang'ana kuyabadili. Inachekesha sana lakini. He lives in the world of fantasy which he slowly and over time, has created for himself. Inatia huruma na kusikitisha sana
Nimesoma uandishi wako kama namsoma wao ni wao natamani afunguliwe account yake sijui yuko wapi msalimieChe...
Kwanza tuanze na hili la ''Babu.''
Mimi kwa umri wangu wa miaka 72 watoto wako ndiyo wanaweza kuniita mimi babu.
Wewe unakuwa mwanangu.
Hivyo ikiwa unataka kuniadhimisha kwa umri wangu unatakiwa kuniita ''Baba.''
Mada zangu kuwa ni za Waislam ni kwa kuwa ndiyo jamii niliyozaliwa na kukulia hapa Dar es Salaam.
Kwa ajili hii najua mengi sana katika mji wa Dar es Salaam, wakazi wake na historia yao.
Watu wa imani nyingine nawaona kama watu wengine labda niseme kama wao wanavyoniona mimi.
Kumpenda mtu kwa dhati.
Labda nikuulize kwa nini unadhani inaweza kuwa vinginevyo?
Nimeishi Masaki kwa zaidi ya miaka 30 na nilikuwa nimezungukwa na majirani Wakristo.
Hawakunitaabisha hata siku moja na nakumbuka watoto wetu wakicheza pamoja.
Angalia picha hiyo hapo chini yupo mwanangu katika kundi hilo:
Che...Sawa Babu.
Ukiwa Babu wacha tu uitwe hivyo na yeyote
Hivi asingekuja Mwarabu na kuleta Uislamu. Wewe Ungekuwa katika Hali gani ?
Ungejikataa nafsi yako ?
Jeep...Anataka wawe kundi maalum kama viti maalum?
Wamshike elimu
Ha, ha, ha.Che...
Hapana mila na adabu zinanikataza.
Nikikuruhusu wewe kuniita mimi babu nitaingia katika matatizo.
Utakuwa mjukuu wangu badala ya kuwa mtoto wangu.
Mimi kwako wewe mwenzangu ni baba na mama yako.
Hawa lazima tuheshimiane.
Nami nikupe wewe heshima ya utoto kwangu.
Wanao kwa kuwa mimi ni babu yao wana haki ya kunitania na wanaweza kuingia chumbani kwangu na hata kulala kitandani kwangu.
Kwenu hamna mila hizi na ''etiquettes'' za aina hii?
Nakusihi usiniite babu ukifanya hivyo utakuwa unanikejeli.
Kwangu hili siwezi kulikubali na inaweza ikawa mwisho wa mimi na wewe kujadiliana.
Che...Ha, ha, ha.
Mbona Babu ni jina zuri sana, mimi mwenyewe naitwa Babu.
Babu ni Heshima kama mtu anavyoitwa Mzee.
Ila kama hulitaki basi naheshimu mawazo yako.
Ikikupendeza niite mimi Babu.
Mimi pia nina wajukuu na naitwa
Babu hata na watu wa Umri wangu.
Pengo na Lugambwa ni majina ya watu na sio hadhi
Babu ni hadhi ya kuishi kwingi kuona mengi.
Mbona nishakuambia hapo naheshimu mawazo yako na sita kuita tena Babu.Che...
Mimi na wewe ni watu tofauti.
Nakusihi tuheshimiane.
Mimi sioni tatizo unatoa kumbukumbu na ni mwezi wenu mtukufuChe...