Kumbukumbu: Hotuba ya Freeman Mbowe - Agosti 2006

Waislam walpowekwa ndani kwa kugomea sensa tulimuomba alaani kitendo hcho, hawa viongozi wa chadema walikaa kimya, hawataki kutete pale muislam anadhalilishwa na kuonewa, hiki nichama kinachopokea pesa toka christian movement mnata Zanzibar wawasikilize vitu gani ??
Ondoeni ujinga wenu pelekeni huko kazkazini, wafu nyiee
utakufa na udini wako mwenyewe
 
Nimeipenda hotuba wakati huo Chadema kilikuwa chama makini.

Mkuu Ritz kama umeisoma hotuba hii kwa umakini utabaini jambo moja tu, Mbowe ni aina ya viongozi anayetembea kwenye maneno yake. Mafanikio na kile kinachotekelezwa na CDM sasa hakika kiko kwenye reflection ya hotuba hii. Ni hotuba yenye matumaini makubwa, hotuba inayowatia moyo makamanda wasichoke, pamoja na kila aina za mbinu za kufifisha na kuutokomeza upinzani nchini.

Kwangu mimi, hotuba hii ni kama Ufunguo wa Ukombozi nchini. Ni hotuba ambayo kila mwana CDM akiisoma kwa makini hakika hawezi kukisaliti chama chake wala kusaliti itikadi na harakati zake na kwa kweli haiwezi kuvumilika.
 
Waislam
walpowekwa ndani kwa kugomea sensa tulimuomba alaani kitendo hcho, hawa
viongozi wa chadema walikaa kimya, hawataki kutete pale muislam
anadhalilishwa na kuonewa, hiki nichama kinachopokea pesa toka christian
movement mnata Zanzibar wawasikilize vitu gani ??
Ondoeni ujinga wenu pelekeni huko kazkazini, wafu nyiee
Wewe hujui kugomea sensa ni upumbavu? unataka ajidhalilishe?
 
Waislam walpowekwa ndani kwa kugomea sensa tulimuomba alaani kitendo hcho, hawa viongozi wa chadema walikaa kimya, hawataki kutete pale muislam anadhalilishwa na kuonewa, hiki nichama kinachopokea pesa toka christian movement mnata Zanzibar wawasikilize vitu gani ??
Ondoeni ujinga wenu pelekeni huko kazkazini, wafu nyiee

Wewe ni mfungwa wa chuki!
 
Mnaenda lini kufunga ubalizo wa marekani?
 
Hutuba mzuri ila nasiwasi itakuwa aliandaliwa hiyo yeye na uwezo wake hawezi kuandaa hotuba kama hiyo
 
Sasa Kikwete wa watu ataandikaje hotuba nzuri wakati mambo varu-varu? Hata hapo bado JK anajitahidi manake haishiwi maneno wala tabasamu. Ningekuwa mwenyekiti wa ccm ningejifanya bubu kwa kweli!
Brainy speech Imetulia sana nimeipenda hii hotuba kamzidi Kikwete kwa mbali sana aisee
 
sijaiona tofauti ya hii hotuba na ile ya Martin Luther Jr 'i have a dream' heko kamanda wa ukweli Mbowe.
 
Hutuba mzuri ila nasiwasi itakuwa aliandaliwa hiyo yeye na uwezo wake hawezi kuandaa hotuba kama hiyo

Katika hotuba mtu huwa anaandika mawazo yake halafu kunakuwa na mtaalamu (muandaaji wa hotuba) wa kuyapanga kama yeye mwenyewe hana utaalamu/uzoefu. Lakini content ya hotuba huwa ni mawazo ya mtoaji vinginevyo ameshinikizwa na mtu fulani nyuma yake.
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu na inayofikiri sawasawa hawezi kuisoma akakataa ukweli kuwa hatuba imejitosheleza. Na zaidi ya hapo ni lazima ata "conclude" kuwa ndiyo maana chama hiki kimefikia hapo kilipo. Siyo kwa kubahatisha. Chama ni lazima kwanza kipate kiongozi.

Nimependa jibu la pili kwa swali la waandishi wa habari.
 
Nakumbuka ktk uchaguzi huo,wakuu wa wilaya na mikoa walikua wanachangisha pesa toka kwa wafanyabiashara kuhakikisha hakuna jimbo linachukuliwa na wapinzani. Huku wakuu wa vyombo vya usalama wakiongoza wizi wa kura,huko Zanzibar hata jeshi letu lilitumbukia ktk aibu hii ya kukimbia na masanduku ya kura! Watu kama Mkapa, Malecela, Kinana, Kingunge, Mahita na mafia wengine ndani ya CCM kuna siku watalipa kwa madhambi yao.
 
Back
Top Bottom