Wadiz
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 5,511
- 11,326
Wasalaam
Zingatia mada, upendo na kumpenda mwanamke ni mgao wa baraka sio utumwa japo ni hiari isiyo hiari, siwezi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja yaani nivutiwe nae kwa hali chanya halafu nipate mrejesho hasi, kisha nijishushe nibembeleze, hio hapana. Namsujudu Mungu sio mbususu wala mnyanduano
Ebu fikiria una pesa, na akikubali yeye atakuwa anakutegemea na kuomba omba pesa.
Nimekula kiapo cha ubaharia na upambanaji siwezi kuwa mnyonge nikiwa natongoza mwanamke maana mwanaume ni mfalme na mfalme ni mbeba majukumu.
Nashindwa kuwa mnyonge wakati mimi ni kidume hio hapana, nikimtaka demu namchana live mie nakuelewa nataka uwe mpenzi wangu.
Uwe huru kukubali ama kukataa na sio lazima iwe muda huu. Upendo ni dhamira na sio tentemente tentemente nyingi.
I have nothing to prove mie mtu wa kawaida tu mwenye hisia so let me know if yes or no.
Kisha ndio naendelea kuagiza vitu na ale anywe ila ujumbe ashapewa, ataenjoy na nauli nampa.
Kutongoza ni kugawa baraka za upendo sio kulia shida au kuomba msaada, ndio sawa hapana sawa.
Mnaobembeleza hongereni kwa huo udhaifu wa kike.
Mjadala upo wazi
Wadiz_ pesa ni maisha na maisha ni pesa _ kataa unyonge tupambane