Kumbembeleza mwanamke wakati wa kumtongoza ni kujidhalilisha uanaume wako

Mpaka katika kub
Mpaka wa kubembeleza ni upi define the boundaries twende pamoja. Kulialia una maana gani? Hakuna formula moja mkuu kweny ehaya mambo tukubaliane tu kutokukubaliana.
hapa tunakumbushana tuache kuwa wanyonge hadi wanawake wanakosoa heshima hata baada ya kukupa anakuona fala kisa kakupa kwa huruma yake tu ...🤣🤣🤣🤣
 
Ngoja nikupe mfano hai

Nilikuta mdada fulani fb, nikamcheki messenger akajibu

Tukachat kama siku mbili, nikamuuliza kama yuko kwenye relationship akajibu hapana

Nikamwambia ningependa tuwe na mahusiano, akawa kama anazunguka(hapa ndo ndo wanaume wanapojishushia heshima). nikamwambia kuwa huru sema yes or no

Na nikamuweka wazi kuwa response yoyote haitaathiri urafiki wetu.
 
Wanawake wa aina gani unawazungumzia mkuu.
Siku hizi Kuna wadada Wana Kila kitu mpk vingine anakushinda...hategemei chochite kutoka kwako haya kama si upendo kwako anatabaki kufanya nini?
Unafanyeje kuexpress unampenda kama si maneno mazuri, kumjali, kumpa time yako ambavyo mnaita kubembeleza.
Dunia imebadilika wazee.
Mkuu kwahiyo akiwa na kila kitu ndio unatakiwa uanze kuogopa, kubembeleza kama bwege na kumnyenyekea kama yai ili tu asiondoke?. Jamaangu hawa wanawake wengi ambao wapo successful ndoa/relationship zao zimeyumba sababu wanataka wao ndio wawe wanaume kwenye familia zao. Nachojaribu kusema ni kwamba kinamna yeyote ile mwanaume awe mwanaume na mwanamke awe mwanamke kila mtu aplay role yake, kumpenda mtu sio kuwa mnyonge kwake au kuwa fala aisee...
 
hapa tunakumbushana tuache kuwa wanyonge hadi wanawake wanakosoa heshima hata baada ya kukupa anakuona fala kisa kakupa kwa huruma yake tu ...🤣🤣🤣🤣
women do not think! they feel!
make her feel your balls champ.

ila yote kwa yote kama hajakupa green light do not approach her.

unajua mkuu hata sisi handsome guys unakuta tunaamka nakujisemea leo sitongozi mtu dadeki sitaki kujidisrespect leo hhahahaha .
women fear rejection hahahahahahahahaha sikumoja nitaweka kisa humu naamini watajifunza watu.,
 
Ngoja nikupe mfano hai

Nilikuta mdada fulani fb, nikamcheki messenger akajibu

Tukachat kama siku mbili, nikamuuliza kama yuko kwenye relationship akajibu hapana

Nikamwambia ningependa tuwe na mahusiano, akawa kama anazunguka(hapa ndo ndo wanaume wanapojishushia heshima). nikamwambia kuwa huru sema yes or no

Na nikamuweka wazi kuwa response yoyote haitaathiri urafiki wetu.
Mimi hapo sioni tatizo mwanamke kutokukubali upesi...kwa waafrika ndivyo ilivyo. Pia hata Sasa mwanamke atahitaji angalau akujue hata kama hamjaonana kwa kuchat mwezi mmoja ili afanye maamuzi sahihi...
Unataka kuniambia huyu mwanamke asipotoa jibu kw wakati unaotaka wewe hupaswi kumsubiria? Hupaswi kuendelea kumshawishi hata kw kumtoa dinner mbili tatu?
Yaani unataka awe kama ameona lulu akushobokee hata kama hajatathmini akaona kama unafika vigezo vyake?
Zamani Babu zetu walikuwa wanaposa miaka mitatu bado hajakubaliwa una maana walikuwa wazembe? Na baada y hapo Kila msimu wa kilimo lazima aende kulima ukweni au kuchunga ng'ombe kutunza heshima apewe mke...Kuna kubembeleza zaidi y huko....unabembeleza ukoo mzima wakupe mke si mke tu sababu mke hana maamuzi wazee wakikataa.
Tusemeni tu sisi tumekuta wanawake ni WA bure bure tu na hawajitambui.
 
Labda wale zamani miaka ya 90 sio hawa waliojaaa kama njugu, hii game sio lazima kama ni sawa iwe sawa kama ni hapana iwe sawa, akubali kwanza ndio mengine yaendelee au akatae iwe basi.
 
Mimi hapo sioni tatizo mwanamke kutokukubali upesi...kwa waafrika ndivyo ilivyo. Pia hata Sasa mwanamke atahitaji angalau akujue hata kama hamjaonana kwa kuchat mwezi mmoja ili afanye maamuzi sahihi...
Unataka kuniambia huyu mwanamke asipotoa jibu kw wakati unaotaka wewe hupaswi kumsubiria? Hupaswi kuendelea kumshawishi hata kw kumtoa dinner mbili tatu?
Yaani unataka awe kama ameona lulu akushobokee hata kama hajatathmini akaona kama unafika vigezo vyake?
Zamani Babu zetu walikuwa wanaposa miaka mitatu bado hajakubaliwa una maana walikuwa wazembe? Na baada y hapo Kila msimu wa kilimo lazima aende kulima ukweni au kuchunga ng'ombe kutunza heshima apewe mke...Kuna kubembeleza zaidi y huko....unabembeleza ukoo mzima wakupe mke si mke tu sababu mke hana maamuzi wazee wakikataa.
Tusemeni tu sisi tumekuta wanawake ni WA bure bure tu na hawajitambui.
WOMEN ARE SCANNER AND THEY EVALUATE PEOPLE SUBCONSCIOUSLY, it is not out of bi#chness, it's protection against harmful men.
Hata kama utakuwa completely stranger to a woman she will let you know you are attractive na atafanya mambo kuwa mteremko kwako.

now days wanapewa attention kwenye social media kuna wajanja wengi wanamtongoza kila sekunde tena wanasifa nying nzuri kuliko wewe.

ngoja niseme hivi kuna wezetu na maHandsome kutuzidi kama uko na sula personal kama mim bro huwezi elewa. ngoja waje hapa wakueleze usumbufu wanaokutana nao .
 
Mkuu kwahiyo akiwa na kila kitu ndio unatakiwa uanze kuogopa, kubembeleza kama bwege na kumnyenyekea kama yai ili tu asiondoke?. Jamaangu hawa wanawake wengi ambao wapo successful ndoa/relationship zao zimeyumba sababu wanataka wao ndio wawe wanaume kwenye familia zao. Nachojaribu kusema ni kwamba kinamna yeyote ile mwanaume awe mwanaume na mwanamke awe mwanamke kila mtu aplay role yake, kumpenda mtu sio kuwa mnyonge kwake au kuwa fala aisee...
Mkuu hii ilikuwa reply ya jamaa aliyesema mwanamke anakutegemea kwa Kila kitu. Pia mbona Kuna generalization kubwa sana kuwa wanawake wenye kipato mahusiano yao hayajatulia...mkuu una data katika hili? Mbona hata pangu pakavu mahusiano pia yanawasumbua? Vile utamchukulia mwanamke ndivyo jinsi atarespond. Kuna wanawake Wana pesa n wako very humble uelewe hilo. Ukimpa upendo atajibu upendo ila ukileta ujuwaje hata pangu pakavu ataishi tu na wewe sababu hana pa kwenda. Hatukatai kusimamia hadhi ya mwanamme lakini ubabe unaoelezwa kwenye huu Uzi hauwezi kuzaa matunda kwa mwanamke liberal.
 
Hello Mr..i hv accept ur wish for two condtns.. 1. On our meet plz let use protection ili usinpe mimba haraka and 2nd i wsh our meets should b more privacy yaan cjui nisemeje hii.for now nakupenda sana nisamehe kwa nilivosema jana. Ila ntabeba mimba yako soon Ile wewe mtata hubembelezi inamaana hutaniwii et eeh..

Huyu mjinga mfano nilimchana kama sawa sema sawa kama hapana sema kajaq mapema sana saa11 alfajiri, sijui nimtafune leo sijui kesho au mfululizo Leo hadi jumapili
 
Zipo njia nyingi tu za kummiliki mwanamke, Moja Ni your convincing power na pili uwezo wako wa kifedha.

Kama mtu hayupo vizuri kiuchumi atapply mbinu ya " convincing power" ili mwanamke husika amkubalie.
Mind you, women are so easily concvinced and lied on.
 
WOMEN ARE SCANNER AND THEY EVALUATE PEOPLE SUBCONSCIOUSLY, it is not out of bi#chness, it's protection against harmful men.
Hata kama utakuwa completely stranger to a woman she will let you know you are attractive na atafanya mambo kuwa mteremko kwako.

now days wanapewa attention kwenye social media kuna wajanja wengi wanamtongoza kila sekunde tena wanasifa nying nzuri kuliko wewe.

ngoja niseme hivi kuna wezetu na maHandsome kutuzidi kama uko na sula personal kama mim bro huwezi elewa. ngoja waje hapa wakueleze usumbufu wanaokutana nao .
Unamkumbuka mada ya Uzi huu mkuu baki humo tusianzishe Uzi mpya.
 
Back
Top Bottom