Kumbembeleza mwanamke wakati wa kumtongoza ni kujidhalilisha uanaume wako

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,447
11,146
Wasalaam

Zingatia mada, upendo na kumpenda mwanamke ni mgao wa baraka sio utumwa japo ni hiari isiyo hiari, siwezi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja yaani nivutiwe nae kwa hali chanya halafu nipate mrejesho hasi, kisha nijishushe nibembeleze, hio hapana. Namsujudu Mungu sio mbususu wala mnyanduano

Ebu fikiria una pesa, na akikubali yeye atakuwa anakutegemea na kuomba omba pesa.

Nimekula kiapo cha ubaharia na upambanaji siwezi kuwa mnyonge nikiwa natongoza mwanamke maana mwanaume ni mfalme na mfalme ni mbeba majukumu.

Nashindwa kuwa mnyonge wakati mimi ni kidume hio hapana, nikimtaka demu namchana live mie nakuelewa nataka uwe mpenzi wangu.

Uwe huru kukubali ama kukataa na sio lazima iwe muda huu. Upendo ni dhamira na sio tentemente tentemente nyingi.

I have nothing to prove mie mtu wa kawaida tu mwenye hisia so let me know if yes or no.

Kisha ndio naendelea kuagiza vitu na ale anywe ila ujumbe ashapewa, ataenjoy na nauli nampa.

Kutongoza ni kugawa baraka za upendo sio kulia shida au kuomba msaada, ndio sawa hapana sawa.

Mnaobembeleza hongereni kwa huo udhaifu wa kike.

Mjadala upo wazi

Wadiz_ pesa ni maisha na maisha ni pesa _ kataa unyonge tupambane
 
Upo sahihi
 
Wachache watakuelewa.

Ila umesema kweli, wewe Mwanaume unatakiwa ujione wa thamani Sanaa.

Mwanamke anakutegemea Kwa Kila kitu .

Ukiwa mjinga, ndo Ile ,unakila kitu lkn bado kabinti kadogoo kanakuendesha
Ndio Mkuu kila mwenye kujitambua Kwa uanaume wake ataelewa ni kukumbushana kuimarisha pride yetu na pride yetu sisi wanaume ndio silaha yetu ya kila kitu.
No pride no control no ownership.
 
Kutongoza mana yake ni kushawishi , kama unaxungumzia kutongoza Malaya sawa
Kushawishi ni ujumbe sio kulialia na kupoteza hadhi kwenye maudhui jumuishi na shibishi kwa pande zote. win-win haina kubembeleza.
Napata kishujaa kisha natimiza majukumu kama mfalme asieshindwa kutimiza ombi la mwanamke.
Vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Mwanaume anayetumia nguvu nyingi kushindana na mwanamke ni dhaifu na hafai kuitwa mwanaume,
Jando lingerudi jamani mbona hiki kizazi kina vijana wateke wateke hivi! Mtaenda vitani kweli nyie ikitokea kimewaka au ndio mtavaa madera mjifiche kwenye migongo ya dada zenu.
 
Kwenda vitani kumpambania Nani ? Hyo kazi kuna watu wanaitwa wanajeshi na wanalipwa Kwa kazi hyo , untrained person huwez kwenda battle front et kisa uzalendo , ndo mambo ya kijenkitile ngwale mwisho wa sku fatal rate inakuwa 100:1 , mnakufa Mia mnaua mmoja , si Bora mbaki home
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Urusi si wanawatoa hadi wafungwa huko,
Au unajua ni vita vya wakulima na wafugaji,
Btw Vita ni mfano tu ila wanaume mmezidi kulalamika ni kama vile mnataka kushindana na wanawake au ndio homons zinachange
 
Wasalaam

Zingatia mada, upendo na kumpenda mwanamke ni mgao wa baraka sio utumwa japo ni hiari isiyo hiari, siwezi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja yaani nivutiwe nae kwa hali chanya halafu nipate mrejesho hasi, kisha nijishushe nibembeleze, hio hapana. Namsujudu Mungu sio mbususu wala mnyanduano

Ebu fikiria una pesa, na akikubali yeye atakuwa anakutegemea na kuomba omba pesa.

Nimekula kiapo cha ubaharia na upambanaji siwezi kuwa mnyonge nikiwa natongoza mwanamke maana mwanaume ni mfalme na mfalme ni mbeba majukumu.

Nashindwa kuwa mnyonge wakati mimi ni kidume hio hapana, nikimtaka demu namchana live mie nakuelewa nataka uwe mpenzi wangu.

Uwe huru kukubali ama kukataa na sio lazima iwe muda huu. Upendo ni dhamira na sio tentemente tentemente nyingi.

I have nothing to prove mie mtu wa kawaida tu mwenye hisia so let me know if yes or no.

Kisha ndio naendelea kuagiza vitu na ale anywe ila ujumbe ashapewa, ataenjoy na nauli nampa.

Kutongoza ni kugawa baraka za upendo sio kulia shida au kuomba msaada, ndio sawa hapana sawa.

Mnaobembeleza hongereni kwa huo udhaifu wa kike.

Mjadala upo wazi

Wadiz_ pesa ni maisha na maisha ni pesa _ kataa unyonge tupambane
AHSANTE MKUU.
YOU ARE THE MAN
FROM NOW ON, Every time i see you posting or starting a thread i will approach you like you are THE MAN.

Ngoja nikazie na mim kidogo
"gentlemen, you can't negotiate attraction"

IF SHE IS NOT ATTRACTED TO YOU JUST PACK YOUR D#CK AND BALLS WALK AWAY.
 
Umekazia very international na global mankind truth. Women have severally manifested this truth, they would even say they are money eaters from men they don't like and love
 
Urusi si wanawatoa hadi wafungwa huko,
Au unajua ni vita vya wakulima na wafugaji,
Btw Vita ni mfano tu ila wanaume mmezidi kulalamika ni kama vile mnataka kushindana na wanawake au ndio homons zinachange
Ni ishara mna run Dunia na mnavotupa stimu na visuaruali na vigauni vya kubana manyakee ndio tunazidi kupagawa.
 
Kila mtu ana jinsi yake ya kufanya mambo ikiwemo kutongoza.
Kuna mtu hamuambii mwanamke hata kidogo kwamba nakutaka lakini unakuta kashapewa mbususu.
Ni makosa kudhani ukiwa na hela unaweza mpata Kila mwanamke simply mkuu una ego kubwa sana na wanawake wanaojitambua itakuwa kazi sana kuwapata.
After all tukiondoa hela zako nini unaoffer kwenye mahusiano? (dada mmoja alishaleta huu Uzi hapa miaka ya nyuma).
Wanawake ni complex sana mkuu...wanapenda Kila kitu kubembelezwa, kudekezwa, kupetiwa petiwa ndio nature yao hakuna discussion katika hilo.
 
Back
Top Bottom