Kumbembeleza mwanamke wakati wa kumtongoza ni kujidhalilisha uanaume wako

Uzi ufungwe mbona ishaeleweka

Kupigia magoti mwanamke ni umama sio ugentlemen

You have to approach her gently ila sio kinyonge as if she is the only one in the world au ukimkosa utakufa
 
Kila mtu ana jinsi yake ya kufanya mambo ikiwemo kutongoza.
Kuna mtu hamuambii mwanamke hata kidogo kwamba nakutaka lakini unakuta kashapewa mbususu.
Ni makosa kudhani ukiwa na hela unaweza mpata Kila mwanamke simply mkuu una ego kubwa sana na wanawake wanaojitambua itakuwa kazi sana kuwapata.
After all tukiondoa hela zako nini unaoffer kwenye mahusiano? (dada mmoja alishaleta huu Uzi hapa miaka ya nyuma).
Wanawake ni complex sana mkuu...wanapenda Kila kitu kubembelezwa, kudekezwa, kupetiwa petiwa ndio nature yao hakuna discussion katika hilo.
Chukua Pepsi bariiidi kwa mangi ntalipa
 
women do not think! they feel!
make her feel your balls champ.

ila yote kwa yote kama hajakupa green light do not approach her.

unajua mkuu hata sisi handsome guys unakuta tunaamka nakujisemea leo sitongozi mtu dadeki sitaki kujidisrespect leo hhahahaha .
women fear rejection hahahahahahahahaha sikumoja nitaweka kisa humu naamini watajifunza watu.,
Wewe ni handsome? Nani alikuambia?
 
WOMEN ARE SCANNER AND THEY EVALUATE PEOPLE SUBCONSCIOUSLY, it is not out of bi#chness, it's protection against harmful men.
Hata kama utakuwa completely stranger to a woman she will let you know you are attractive na atafanya mambo kuwa mteremko kwako.

now days wanapewa attention kwenye social media kuna wajanja wengi wanamtongoza kila sekunde tena wanasifa nying nzuri kuliko wewe.

ngoja niseme hivi kuna wezetu na maHandsome kutuzidi kama uko na sula personal kama mim bro huwezi elewa. ngoja waje hapa wakueleze usumbufu wanaokutana nao .
Si wote wanakutana na usumbufu boss. Mbona hata me wanakutana na vishawishi ili wawatongoze wanawake? Huenda hujui na ni mgeni kwenye hili
 
Si wote wanakutana na usumbufu boss. Mbona hata me wanakutana na vishawishi ili wawatongoze wanawake? Huenda hujui na ni mgeni kwenye hili
ni kweli mkuu.
unajua mengi nilishayasema na nilishayaonyesha msimamo wangu post za mwanzo mkuu.
hayo mengine ni mbwembwe tu / inawezekana yakawa hayana maana kwako.
 
Wasalaam

Zingatia mada, upendo na kumpenda mwanamke ni mgao wa baraka sio utumwa japo ni hiari isiyo hiari, siwezi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja yaani nivutiwe nae kwa hali chanya halafu nipate mrejesho hasi, kisha nijishushe nibembeleze, hio hapana. Namsujudu Mungu sio mbususu wala mnyanduano

Ebu fikiria una pesa, na akikubali yeye atakuwa anakutegemea na kuomba omba pesa.

Nimekula kiapo cha ubaharia na upambanaji siwezi kuwa mnyonge nikiwa natongoza mwanamke maana mwanaume ni mfalme na mfalme ni mbeba majukumu.

Nashindwa kuwa mnyonge wakati mimi ni kidume hio hapana, nikimtaka demu namchana live mie nakuelewa nataka uwe mpenzi wangu.

Uwe huru kukubali ama kukataa na sio lazima iwe muda huu. Upendo ni dhamira na sio tentemente tentemente nyingi.

I have nothing to prove mie mtu wa kawaida tu mwenye hisia so let me know if yes or no.

Kisha ndio naendelea kuagiza vitu na ale anywe ila ujumbe ashapewa, ataenjoy na nauli nampa.

Kutongoza ni kugawa baraka za upendo sio kulia shida au kuomba msaada, ndio sawa hapana sawa.

Mnaobembeleza hongereni kwa huo udhaifu wa kike.

Mjadala upo wazi

Wadiz_ pesa ni maisha na maisha ni pesa _ kataa unyonge tupambane
Unasema una hela, okay, unajishughulisha na kazi ipi? Uzi wako umelenga vijana wenye hela za kueleweka.
 
Key parameters that shape true man una maan gani? A man with a pride una maanisha nini? Mgomvi, mtukutu,? Unaconnect vipi hii reply yako na Uzi? Humbleness haijawai mtupa yeyote. Be humble utaheshimika si mpk uwe aggressive kwani mko vitani boss.

Mwanamke mpende hawana ujanja ukiwapenda hao ila hiyo njia yako itafanya kazi kwa wanawake nja nja.
FITA NI FITA MURA,
Sisi tunataka fita,
Baada ya mafunso makari tukapanda vyeo kutoka kwenye ukopro hadi ubrigedia hadi ujenerali,
Sisi ni wataaram wa haya mambo tukiongea mutusikirise,
Nyenso pekee ya kushinda hii fita ni pesa na tunashinda kweri kweri,
Sisi wamiliki siraha hii deadly na ya kisasa ni washinti wa hii fita,

yani unaweka siraha mezani , maadui wanakuja kuishangaa, wanaripuka sisi tunashinta!!
NASEMA FITA IENDEREE NO RITRIT NO SURRENDER
army-fails.gif
 
Back
Top Bottom