toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 5,883
- 10,376
Mkuu kusema ukweli data sina ila me naongelea general population, anyways twende mdogo mdogo mkuu wanawake wengi wanadhani ni wavumilivu sana lakini kumbe wanaume wavumilivu pia mfano, mwanaume anaweza akadate hata na illiterate lakin mkuu nenda na darasa la nne yako kaone kama unaweza date na hata masters holder ni shughuli pevu, kimsingi wanawake ndio huwa wanatengeneza madaraja kuliko wanaume ndio mana point yangu kuu ni Mwanaume ni mwanaume na mwanamke ni mwanamke na kila mtu aplay role yake hapo maisha yataenda sawa.... Ila kimsingi Mwanaume ndio huwa anadictate relationship anayoanzisha iweje, which means its us guys who get to decide how to run that business..Mkuu hii ilikuwa reply ya jamaa aliyesema mwanamke anakutegemea kwa Kila kitu. Pia mbona Kuna generalization kubwa sana kuwa wanawake wenye kipato mahusiano yao hayajatulia...mkuu una data katika hili? Mbona hata pangu pakavu mahusiano pia yanawasumbua? Vile utamchukulia mwanamke ndivyo jinsi atarespond. Kuna wanawake Wana pesa n wako very humble uelewe hilo. Ukimpa upendo atajibu upendo ila ukileta ujuwaje hata pangu pakavu ataishi tu na wewe sababu hana pa kwenda. Hatukatai kusimamia hadhi ya mwanamme lakini ubabe unaoelezwa kwenye huu Uzi hauwezi kuzaa matunda kwa mwanamke liberal.