Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,330
Ili kuleta ufanisi TANESCO inabidi ivunjwe mara mbili, iwepo TANESCO uzalishaji umeme na TANESCO usambazaji umeme. Kwa kufanya hivi hali ya uwajibikaji itaongezeka.
Hilo shirika linatakiwa kugawanjwa mara tatu
1) Uzalishaji (Power generation)
2) Ugawaji/usambazaji
3) Wauzaji (wakusanya bili)