Kumbe tatizo la umeme TANESCO tunawalaumu bure!

Ili kuleta ufanisi TANESCO inabidi ivunjwe mara mbili, iwepo TANESCO uzalishaji umeme na TANESCO usambazaji umeme. Kwa kufanya hivi hali ya uwajibikaji itaongezeka.

Hilo shirika linatakiwa kugawanjwa mara tatu
1) Uzalishaji (Power generation)
2) Ugawaji/usambazaji
3) Wauzaji (wakusanya bili)
 
Mkuu hili la kukunja mikono, kuchora nne na kulala usingizi wa pono pasipo kufanya kazi silo tunalomaanisha

Sasa kwa sentensi yangu ya kuwa 'huwezi kumtegemea Mungu kupata maendeleo' ndivyo nilivyomaanisha.

Kuwa huwezi kukunja mikono utegemee Mungu kwa kuomba dua (kama Mahesabu alivyotaka) aje akupe maendeleo.

Watu wasiomtegemea Mungu/wasio muamini hata uwepo wake wanapata maendeleo kwa hiyo kupata maendeleo hakutokani na kumtegemea Mungu bali kunatokana na juhudi pamoja na mikakati.

Kumtegemea Mungu ni extra tu kwenye equation, muhimu ni bidii na uchapa kazi pamoja na mikakati.

Mungu mwenyewe anasema "nitawasaidia wale wanaojisaidia wenyewe" akimaanisha kuwa bila jitihada kumtegemea yeye ni kazi bure, hakusaidii.
 
Uwezo, sababu na nia ama utashi zipo ipo ambacho hakipo ni Ujasiri!

PS. Hapa simaanishi "Ujasiri wa Kifisadi" aliousema Dakta Mwakyembe
 
Huwezi kukaa tu Mungu akakupa maendeleo.

Kumuamini au kumuomba Mungu hakuna uhusiano wowote na maendeleo

Asians kama Wajapani na Wakorea hawaamini Mungu lakini wanamaendeleo, wazungu hali kadhalika

Ingelikuwa kumuomba Mungu kuna uhusiano wowote na maendeleo hawa wasingepata

Maendeleo yanakuja kwa juhudi, mipango, mikakati, uwajibikaji sio kuomba Mungu

Uko sahihi kwa aslimia zaidi ya mia, huu ndio ukweli tunaoogopa kuuweka hadharani ya kwamba DINI (ukristo na uislamu) ndio zinakwaza maendeleo hasa ya sisi waafrika.

MSOMI ni mtu mwenye kuvutiwa na fikra na mwenye mbinu za kizisarifu na kuzitumia vilivyo(fikra hizo) baadhi au zote. Profesa Ali Mazrui.
 
Wanaoweza huwaga wanafanya, hawaishii kuongea na kuandika tu. Sisi hatuwezi. Kama tunaweza prove me wrong. As simple as that!!!!
 
Wana JF nimekaa na kutafakari sana kuhusu suala la mgao wa umeme ambalo mwisho wake hakuna ajuaye. Lakini mara zote tunawalaumu TANESCO kwa kuwa ndo tunaowaona wakikusanya vibil vyao kila kukicha. Angalia hii, tanesco ni shirika la ugavi wa umeme tz. Kumbe hawa jamaa hawazalishi umeme, kazi yao ni kugawa kwa watumiaji tu. Kwa hiyo ukiona umeme unakatika mara kwa mara, cha kwanza tumuulize mzalishaji, yeye akisema kuwa anazalisha then ndo tuwaulize tanesco kulikoni. Swali la kujiuliza hapa ni kwamba, nani anazalisha umeme? Tanesco walitakiwa wafanye kazi na Tanegco:- Tanzania electric generation corp, bahati mbaya tanegco haipo. Nasema tanesco hawazalishi umeme, isipokuwa tutawalaumu kwa ubovu wa mitambo yao. Nawasilisha.


Wazalishe, wasizalishe, JIBU ni hili hapa...

EDP Renewables Brazil Builds a 70 MW Wind Farm in Rio Grande do Sul

PR Newswire

SAO PAULO, March 24 /PRNewswire/ -- EDP Renewables, an EDP Group company, announces that the ground-breaking ceremony of its third wind farm in Brazil, based in Tramandai, Rio Grande do Sul took place today, Wednesday 24th March at 10 am.

The Tramandai Wind Farm has a installed capacity of 70 MW and an estimated production of 211,437 MWh per year, enough to supply a city of 200,000 inhabitants.

When the project is completed, which is expected to be at the end of this year, the company will have a wind power generation capacity of 84 MW, 13.8 MW of which corresponds to two already-operational parks in Santa Catarina. With all production fully contracted within the Brazilian Government's PROINFA renewable energy incentive programme, the Tramandai project will comprise 31 wind turbines (from 1.9 to 2.3 MW) with 98-metre towers and 40-metre blades, reaching a total height of 138 metres, equivalent to a 50-storey building. To give an idea of its scope, a single 2.3 MW wind turbine produces 3 to 5 million kWh per year of clean energy - the amount consumed by 1,600 homes or 6,400 people.

The Tramandai Wind Farm strengthens EDP Group's firm, strategic commitment to wind power and responds to Brazilian parent company's need for clean energy to complement its hydro-electric and thermal energy production. As Brazil's economy grows the country will need new alternative energy sources. As well as being environmentally friendly, renewable energies allow for a considerable reduction of Brazil's dependency on foreign energy.

For this purpose, EDP Group can contribute its global experience through EDP Renewables, the world's third largest wind power producer.

Located in the south of the city of Tramandai in an area of 832 hectares, the wind farm should generate almost 1,000 jobs during peak construction periods, when the access roads, foundations, towers, sub-station and transmission lines are built.

EDP Renewables was awarded the license to build the wind farm in January this year by the Brazilian Government's State Foundation of Environmental Protection (Fepam). After a two-year process, the company has now obtained the required regulatory permits, including provisions for the protection and control of migrating birds and the preservation of native flora and fauna.

EDP Renewables Brazil - which is focused on wind power generation in Brazil - is owned by EDP Renewables (55%) and EDP Energias Do Brasil (45%).

About EDP Renovaveis
EDP Renovaveis (Euronext: EDPR), headquartered in Oviedo, Spain, is a global leader in the renewable energy sector that designs, develops, manages and operates power plants that generate electricity using renewable energy sources. With a sound development pipeline, first class assets and market-leading operating capacity, EDPR has undergone exceptional development in recent years. Energias de Portugal, S.A. ("EDP"), the majority shareholder of EDPR, is a vertically-integrated utility company, headquartered in Lisbon, Portugal. Through its various constituent businesses, EDP holds significant electricity and gas operations in Europe, Brazil and the United States. For more information, visit Home Page - EDP Renováveis.

Web Site: http://www.edprenovaveis.com
 
Wana JF nimekaa na kutafakari sana kuhusu suala la mgao wa umeme ambalo mwisho wake hakuna ajuaye. Lakini mara zote tunawalaumu TANESCO kwa kuwa ndo tunaowaona wakikusanya vibil vyao kila kukicha. Angalia hii, tanesco ni shirika la ugavi wa umeme tz. Kumbe hawa jamaa hawazalishi umeme, kazi yao ni kugawa kwa watumiaji tu. Kwa hiyo ukiona umeme unakatika mara kwa mara, cha kwanza tumuulize mzalishaji, yeye akisema kuwa anazalisha then ndo tuwaulize tanesco kulikoni. Swali la kujiuliza hapa ni kwamba, nani anazalisha umeme? Tanesco walitakiwa wafanye kazi na Tanegco:- Tanzania electric generation corp, bahati mbaya tanegco haipo. Nasema tanesco hawazalishi umeme, isipokuwa tutawalaumu kwa ubovu wa mitambo yao. Nawasilisha.

Kama hawazalishi, hydropower systems za Mtera, Kidatu na Kihansi, NI ZA NANI? Haziko chini ya MILIKI ya TANESCO? Au ZIMEUZWA, kinyemela, kama vitu vingine hapa nchini? TUAMBIE!
 
Ujasiri/Uthubutu wa Kutenda...

Msidhani sababu, nia na uwezo vilitosha kumpiga nduli - kulikuwa na ujasiri/uthubutu pia!
kwahiyo unamaanisha kuwa watanzania wa 1990s hadi 2000s hatuna ujasiri wa 1960s hadi 1970s?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom