Kumbe sina kabila

Nimeshatoa taarifa kazini irekebishe pale ktk details zangu sehemu ya kabila iandikwe Sina kabila.
 
Wacha kujidanganya na kujishebedua weye. Huko ni kuukana uasili wako...huwezi kwenda mbele bila kuangalia utokako. Huo ni upofu wa akili na ufinyu wa mawazo na zaidi niulimbukeni ulio peya.
Jadili kwa hoja mkuu! Kwani asili ya mtu ni kabila? Badilika
 
A man withough a History has no identity, so u are telling us u are not a man nor a human!!! What I regret most is I grow up thinking im from nyanza region or to stamble upon iur true identity when its too late as I can not even find a bit of my tribe

Unaweza kataa kujihusisha na kabila lako lakini hio haitoi kuwa wewe uuu kabila durani, kuns faida nyingi tu katika kabila ama dini, ie umoja na muungano
 
Mkuu, kwa ufupi kabila ni utaratibu wa maisha ya kikundi fulani cha watu walioamua kufanana kwa mambo kadhaa kama,mila,lugha,miiko,silka n.k. Kama ukijikubalisha kuishi ndani ya hayo wewe ndo twasema una kabila.
Ukiyakataa kama mimi hapa uko Free hakuna utakachopungukiwa mkuu.
bado hujajibu hoja zangu zilizotoana na hoja za kukataa/kukanz kabila hebu soma kisha zijibu,usijibu kwa jumla.
 
Kuna wengine full majanga! Ukienda likizo kijijini ukikaribia kufika kwenu unachojoa suti yako uliotoka nayo mjini na kuvaa mashuka kama unatoka kutahiriwa.
Shida gani hii
 
Safi sana! Ni vyema usiwe na dini pia kwa sababu hata dini utasikia dini ile ya makafir mara ile ya Al Shabaab mara ile nyingine ya mashoga nk! Makameeee, ushanifahamu?

Hapana mkuu! dini lazima niwe nayo kwasababu kwa imani yangu mimi dini ndio inanipa muongozo vipi niishi maisha ya duniani ili nikapate maisha yalio mazuri baada ya kuondoka duniani.
 
A man withough a History has no identity, so u are telling us u are not a man nor a human!!! What I regret most is I grow up thinking im from nyanza region or to stamble upon iur true identity when its too late as I can not even find a bit of my tribe

Unaweza kataa kujihusisha na kabila lako lakini hio haitoi kuwa wewe uuu kabila durani, kuns faida nyingi tu katika kabila ama dini, ie umoja na muungano

Sikubaliani na wewe,
ingekua makabila yanaleta umoja watu wa kabila moja wasingerogana,wasingeoneana wivu.
 
Back
Top Bottom