Kumbe Rais wa Muungano akiwa Zanzibar yuko chini kwa Rais wa Zanzibar

Hivi huo Muungano ukoje kwani? Maana mimi sijawahi kuona muungano dizaini hii ya Tanganyika nchi niipendayo na ka nchi kama zonzibar...... hivi hawa ccm wanang'ang'ania nini lakini??
 
Back
Top Bottom