KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
- Thread starter
- #21
Hivi beki pascal ochieng aliyesajiliwa simba na i yupi?sio yule mzee aliyewahi kuichezea yanga wa mwaka 2000 mwanzoni?kama ndie hivi anaweza kuwa na jipya gani mtu aliyeichezea yanga karibu miaka kumi iliyopita?kama a usajili simba bora ikajiuzulu mapema kuepuka aibu kwa kushindwa kaziObama yule muuza mitumba Karume au yule wa Yes We Can?