kova njooo mkamate huyu Ruzibiza ni muhamiaji haramu, track ip yake akamatwe!!
Wakuu,
Baada ya kuenea kwa tetesi kuwa vyuo vikuu tz vinaongozwa na kijana mnyarwanda anaeitwa CHAKUSHAMAIRE AMONI.
Niliamua kuzama utafitini kwa sababu mimi kwetu ni bukoba karagwe,
UKWELI NI HUU
Huyo kijana alihamia tz mwaka 1993 akiwa na miaka 11 na wazazi wake baada ya vurugu zilizokuwa zikiendelea huko rwanda,
Waliishi huko ngara na baadae akaanza masomo katika shule ya kulelea watoto wenye mazingira magumu hapo ngara ya kanisa katoliki.
Baadae akawa na ambition za upadre lakini akazuiliwa kwa kukutwa na msichana baadae akakosa sifa za kuwa mtawa kwa kosa la kuzini na mtoto wa mlezi wake,
Kijana huyu sio mnyambo wala muhangaza, bali ameoa mwanamke wa kinyambo ndio sababu wengi wanamchanganya na wanyambo,
Mpasha habari wangu aliponiambia haya yote niliamua kufuatilia kule wanakoyolea vyeti vya kuzaliwa ni aibu tupu kwa sababu eticheti kachukua tarehe 15-08-2011 na kinaonyesha amezaliwa hospitali ya mkoa ya kagera, jamani yaani mtu asafiri toka ngara mpaka bukoba mjini kujifungua ili hali hosp za kisasa tena za wamisionar zimejaa huko ngara.... (kaka mbona unaweweseka?ni kosa kuzaliwa nje na home?)
hayo sio hoja saana,ila hoja ni kuwa huyu kijana anatamani sana kuteuliwa kuwa mbunge wa bunge la katiba..je rais kikwete usipokuwa macho hawa ndo watu aliosema kagame atakupiga nao.
----------------------------------------------
Mkuu, kwanza sipendi kuongelea watu bali ISSUES cos that's what consists of big brains.
Nimeamua kuchangia hapa hasa kwakuwa issue siyo MTU bali URAIA wa TZ..
Kama anayeongelewa hapa ni huyu AMON CHAKUSHEMEILE ninayemfahamu basi mleta mada naweza kumwita MZUSHI. Kwa ufupi nimemfahamu AMON CHAKUSHEMEILE tangu akiwa mtoto mdogo na ni kwakuwa nilikuwa mbele yake SANA katika SEMINARY
Alizaliwa BUSHANGARO - Karagwe miaka kadhaa ilopita. Na SI Ngara kama mleta mada alivyosema. Pia alizaliwa katika hospitali ya NYAKAIGA kule kule BUSHANGARO kama nilivyoelezwa na source ya uhakika na si BUKOBA
Alisoma O- Level ktk seminary ya St Charles Lwanga Katoke Sem tangu Pre form One hadi form four. Alifaulu vizuri. Aliitwa MZEE WA BIBLE kwa vile aliikariri biblia toka MWANZO hadi UFUNUO.
Baada ya O-Level alijiunga na RUBYA Seminary ADVANCED na akamerge kwenye HGK. Baadaye alikwenda Chabalisa formation house na NTUNGAMO Major Seminary akasoma Philosophy for TWO yrs. Then aliamua kuacha mtiririko wa masomo kwa ajili ya maisha ya UPADRE.
Alifundisha kwa muda ktk Seminary ya Katoke kabla ya kujiunga na Mzumbe University aliko hadi sasa. Na naambiwa ni Rais wa Serikali ya wanafunzi
OMBI: No research no right to speak. Tusilete habari za kuchafuana kwasababu tu tunataka nafasi za KISIASA kama wanasiasa hasa wa CCM. Amon CHAKUSHEMEILE as i know him is a Tanzanian and I'M READY TO PROVE THAT BEYOND ANY REASONABLE DOUBT!
Mkuu genekai umejitahidi kubalance hii story lakini hujakata mzizi wa fitna. Wazazi wake ni watanzania? Kama cheti cha kuzaliwa kinaonyesha amezaliwa Bukoba wewe unapinga una ushahidi?
Ukweli kuna tatizo kubwa sana la jinsi ya kusaili watanzania kwa ajili ya vitambulisho. Kwangu nadhani NIDA wanakosea kutumia uajiriwa serikalini kama moja ya hakikisho lisilo na shaka la mtu kuwa Mtanzania. !
Du kwa kweli Tanzania ni shamba la bibi, kila mjukuu anastahili kuvuna chake.Hoja za Mchungaji Mtikila kwamba Kagame ameingiza Wanyarwanda 35,000 nadhani serikali yetu imeamini kwamba alichosema Mtikila kilikuwa ni cha kweli.
Wosia wangu kwa serikali ni kwamba ifanye kila linalowezekana kuwaondoa wahamiaji haramu wa kila kabila kuna wasomali kibao hapa Dar es Salaam inasubiri nini kuwatimua, je inasubiri vitisho vya Rais wa Somalia ndipo ichukue hatua? Kuna raia wa Kenya pale Mafinga wamejimilikisha ardhi kubwa kinyume cha sheria nao waondolewe.
Tanzania bila mamluki INAWEZEKANA.
Mke wangu amezaliwa Tanzania amekulia Tanzania amesomeshwa na bodi ya mikopo Tanzania boom mwaka wa kwanza hadi wa mwisho lakini alipoenda kuchukua Passport aliambiwa sio mtanzania yeye ni msomali kwakuwa baba yake alihamia hapa miaka mingi iliyopita akaoa mtanzania.
Sina matatizo na hizi sheria zetu maana ndio tulivyojiwekea ila serikali inabidi iwe makini sana ku screen especially kwenye swala sensitive kama bodi ya mikopo maana wapo Wa Congo, Rwanda, Burundi, Msumbiji nk kibao wanasomeshwa kwa mantiki hii. Ila pia kuna haja ya kuangalia upya utaratibu wa kumsaidia mtu kama huyu ambaye amezaliwa na wazazi sio watanzania lakini amezaliwa hapa. Nijuavyo mimi ukizaliwa Marekani wewe ni mmarekani.
Vyovyote vile, ila wakitaka kuendelea kuishi Tz kihalali, lazima watoto hao wanapotimiza umri wamiaka 18 wanapaswa KUUKANA uraia wa wazazi wao ili wahesabike kama WATANZANIA kwa kuzaliwa na si kwa kurithi!!!!genekai Hivi hawa wahamiaji wanaorudishwa makwao, watoto waliowazaa wakiwa Tanzania wanawaacha Tanzania kwamba ni Watanzania au wanaondoka na watoto wao ijapokuwa wamewapata wakiwa Tanzania?
acheni propaganda kuzushia wa2 jamaa namjua tangia anazaliwa
Watanzania tuache kuwa jamii ya watu wapumbavu. Tusiojali na kupenda kuchukulia kwa wepesi kila jambo, na ndio maana mambo mengi mazito yanatokea kila kukicha kwa kuwa hatuyapi uzito unaostahili mambo makubwa na kuyapatia dawa.
Yule Mwanajeshi mtustsi aliyekuwa kitengo cha IT ambaye ametoroka, ingawa serikali haitaki kusema wazi mnafikiri aliingiaje jeshini?? Amesoma hapa kakulia hapa na akaomba kuingia Jeshini!! Then kwa nini akimbilie kwa Kagame? Lazima pia tupende kujua tabia za watu na baadhi ya makabila. Hawa Watutsi si watu wa kuwashabikia, ni watu wajeuri, kiburi, dharau ambao wanaamini wao Mungu kawaumba kwa ajili ya Kutawala na ni watu wenye mipango ya hali ya juu na siri kubwa.
Tuache tabia ya unafiki na ukondoo kwa kujifanya hatutaki kuonekana wabaguzi hata pale tunapojua kuwa hawa wageni hawapo kwa nia nzuri. Watutsi si watu wa kuwachekeachekea hovyo. Lazima vyombo vyetu vijifunze kuwa makini katika kila jambo kwa kuwa wananchi raia wanaposhindwa kutimiza wajibu wao katika kulinda nchi yao, vyombo vya Dola na Usalama vinatakiwa kutimiza huo wajibu. Pamoja na Zoezi hili linaloendelea kuna watu ambao si raia lakini wanaachwa kwa sababu ya pesa na kujuana na Wakubwa. Wapo wahamiaji haramu ambao wameweza kupata vyeti vya kuzaliwa vya Tanzania kwa kuhonga na hatimae kupata Pass za kusafiria na Kitanzania.
Mwisho. haya yote yanatokea kwa sababu nchi imekosa uzalendo na Uzalendo hauletwi kwa kuimbishwa au kwenda JKT. Uzalendo unajengwa kwa Wananchi kufeel kuwa nchi serikali yao inawajali kwa kuwapatia huduma Bora za Kijamii, ie Afya, Elimu tangu awali, Chekechea, Shule za msingi na kuendela, Masoko ya uhakika na Pembejeo kwa wakulima. Better and Cheap means of Public Transport na Mengine mengi. Mwananchi anapojisikia anahudumiwa vizuri na nchi yake tangu akiwa mdogo ndipo anapoijali nchi yake na hatokuwa tayari kuiona ikichezewa hovyo.