Kumbe nacheza uwanja mmoja na baba

Potezea mwache beki 3 aendelee na kazi usije ukawa chanzo cha matatizo hapo nyumbani kwenu km unaweza tafuta chumba sehemu nyingine uanze maisha yako.
 
Hapo wewe ndio una makosa. Wewe ndio umeingilia mahusiano ya watu hivyo tuliza mzuka. Muda wote uko shule mshua anapiga, leo unaleta mdomo?

Kwanza unashangaza mwanaume mzima unataka kuanza umbea. We uchune kisha muheshimu mamdogo wako. Bado utayaona mengi sana so jifunze kumeza. Usikute hata bi mkubwa anajua ila kauchuna tu. Ndoa usiku mnene dogo!!
 
Usithubutu kuvunja ndoa ya baba na mama yako mkuu. Hilo litakugharimu sana, chakufanya tengeneze mazingira ya beki3 afukuzwe hapo maisha yataendelea
 
Hiyo familia yenu ina matatizo kuanzia baba hadi wewe, house girl ni sawa na mtoto wa hapo nyumbani, nyie ndo mmefanya kigodoro. Kwa umalaya wenu mtamwambukiza mama wa watu magonjwa. Hakika kwenye mambo ya kipuuzi kama haya siwezi kuwa na subira. Mwambie tu mama yako ili aanze, hayupo kwenye mazingira salama.
 
Kama kweli unampenda mama yako mwambie ukweli ila kama humpendi ka kimya uone mwisho wake
 
Aisee haya mambo ya sex chain hatari sana...yan mama yako mzazi anaweza ambukizwa magonjwa ya zinaa toka kwa mtoto wake wa kiume..daaah.
Unashangaa kijana ana gono muda huo huo mama yake nae anameza dawa za gono.
Unajiuliza wameambukizanaje?? Kuuuuumbe daah
 
Ndo maana ukimwi hauishi kamwe na kuisha sijui kama utaja isha
 
Dogo tulia, tafuta kazi upate hela ukatafute wasichana wengine. Unaumia kwa sababu huna hela huyo beki 3 unapiga bure ila baba yako anamtoa ya sabuni. Huna adabu umeshajuwa achana na huyo b3. Wanaume wengi wanachepuka ila wewe unaona b3 kama halali yako mtaungua na miwaya nyumba nzima. Shauri yako.
 
Back
Top Bottom