Kumbe mastaa kibao bongo watoto wa mama.

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,504
12,829
Kumbe wengi wenu mmekimbilia mliko kutokana na kukosa malezi ya Baba na Mama........... nimewasoma na ukweli ndio huo! hamna maadili kwa hiyo hamuwezi kuwa vioo kwa jamii kwani wengi wenu mmejilea au mmekua kwa kudekezwa na Mzazi mmoja.

Mastaa wengi wakiwemo Ray, Wema, Hashim Thabit,Lulu na Marehemu..... wakiwa kwenye interview na media kila baada ya maneno matatu wanamtaja Mama! this is shameful hata kama huna Baba punguza hiyo! . So mmekua huko mliko na matabia yenu machafu kwa vile mzazi mmoja hakuchangia malezi...? au mmeamua tu kuwa mlivyo. hawa ni wachache tu ambao nimewahi kusikilza interview zao, je wewe unamjua yupi mwingine?
 
sasa wewe kama mtu toka akiwa mtoto adi amekuwa amelelewa,kulishwa na kusomeshwa na mama yake baada ya kutelekezwa na baba,unataka amtaje baba ili iweje?
 
huu uzi ni mzuri tatizo ni kwa mtoa mada kuwa na hasira na hii hali ikiwa mwenyewe anatambua fika wanaume wengi wanakimbia watoto na kuja kujisifu nao wakipata mafanikio.

Nilitegemea ungeuliza kama je single parent inasababisha usongo? Au hata mastaa wengi ni kutoka kwenye single parent esp mother
 
Acha ushamba...Single Parent its all over the World and Mothers they always take care the Family..Fikiria kabla ya Kuandika andika tuu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
i love my mama mwalimu mtolera bila yeye hata jf nisinge ifahamu
thanks mama i love uuuuuuu
 
Mbona unahukumu watu kulelewa na mama zao, je kama mtu alifiwa na baba yake akiwa mdogo? na wengine baba na mama wapo lakini anayelea ni mama tu. baba karudi usiku bwii kila siku.

Vipi mbona hamzungumzii wale waliolelewa na watu wasio wazazi wao. baba na mama walifariki au walikuwa busy wote.
 
We uliyoandika hiyo maneno nawasiwasi na jinsia yako...hv kama umekuza na kulelewa na mama ulikuwa unataka baba atajwe kwa lp hasa,,,unahitaji kwenda darasani kusoma tena!!!! Pia umewadhalilisha kina mama...ina maana mastar wote ******* hapa town n walio lelewa na mama tu??? Kuwa na heshima na next tym fikiri kabla hujafanya cho2te

Sio lazima atajwe baba, kama hayupo ni Bora hukae kimya tu kuliko "Mama", Mamaa,
 
Kumbe mkiambiwa ukweli mnakasirika....huo ndio ukweli bana mnaboa sana...tumieni sana neno wazazi kuliko kumtaja Mzazi mmoja mlilozoea mnafanya tuwahisi tofauti bandugu
 
Hapa bila kumung'unya maneno hata mimi nakerwa mno na hii tabia ya Mama Mama Mama Mama, that's nonsense i don't like this behavior.
 
Back
Top Bottom