Endelea tu kujifuna na unaacha kujifunza kutokea kwa majirani zako wa EAC na uko nao hapo karibu tu pua na mdomo, JK wako kila kukicha nje ya Africa kuomba misaaada ni uongo mtu mfano mzuri Kenya just check Uchumi wao unavyokuwa na pamoja walipitia machafuko ya wao kwa wao bado wako mahali pazuri Ulisha wahi ona Mwai Kibaki ameenda nje ya nchi zaidi ya Mara 6 tuseme ukweli? hata ukimwesabia haitofika hata kumi kwani jamaa ni mchumi na ana focus hapo kwa uchumi. ndugu yetu baba mkwe wangu JK kutwa kila Jua likizama nje ya nchi na shilling ianporomoka kama nini?
Mwalimu Julias K. Nyerere alisha sema kwenda nje na kuomba misaaada sio ndio njia ya kuwajengea uchumi watu(wananchi) wako, ni wewe ujue ni jinsi gani utaweza wafanyia wananchi wako wajiendeleze wao wenyewe na sio kutegemea pesa ya misaaada.
mfano mzuri ni Kenya tena narudia sema walinyimwa misaaada na nchi kadhaa lakini je mlisikia wame tetereka mahali??
well said PJ,
i am just worried kama yeye na washauri wake wanakuelewa
hivi hajaendaa tu Jamaica? Akipata tu safari hii namshauri nchi yake ya kwanza iwe hiyo........
Naendelea kujifunza kuhusu JK!
Kumbe madaraka ni matamu wakuu!
Jamaa amekata ule utalii na safari zote za Merikani na Ulaya alizokuwa anazifanya kila mwezi, ili kutetea nafasi yake ya uprezidaa!....
Kumbe inawezekana kukaa nchini kwa miezi kadha akitembelea vijiji na kata bila kusafiri na kwenda kupanda mabembea!?
Pia ni masikitiko makubwa kwamba huyu mkuu angelikuwa anamaanisha kuwasaidia wananchi kikweli, hizo helikopta alizonunua ili kufanya kampeni angezinunua mapema akiwa rais ili awafikie watu kirahisi na kuwasikiliza!...Mi naona tendo hilo linamfanya aonekane Mbinafsi zaidi, na kwamba hayuko kwaajili ya watanzania, bali kulinda nafasi na ufalme wake kwa gharama ya walipa kodi!!...mwaionaje hii!
Lakini madhara ya kukaa nchini muda wote huu si umeyaona mkuu, damu imezidi kuchafuka na mieleka ya hapa na pale haiishi, mara jangwani mara mbeya, mara sengerema.Habari ndiyo hiyo, parapanda hiyoooooooooo!
Naendelea kujifunza kuhusu JK!
Kumbe madaraka ni matamu wakuu!
Jamaa amekata ule utalii na safari zote za Merikani na Ulaya alizokuwa anazifanya kila mwezi, ili kutetea nafasi yake ya uprezidaa!....
Kumbe inawezekana kukaa nchini kwa miezi kadha akitembelea vijiji na kata bila kusafiri na kwenda kupanda mabembea!?
Pia ni masikitiko makubwa kwamba huyu mkuu angelikuwa anamaanisha kuwasaidia wananchi kikweli, hizo helikopta alizonunua ili kufanya kampeni angezinunua mapema akiwa rais ili awafikie watu kirahisi na kuwasikiliza!...Mi naona tendo hilo linamfanya aonekane Mbinafsi zaidi, na kwamba hayuko kwaajili ya watanzania, bali kulinda nafasi na ufalme wake kwa gharama ya walipa kodi!!...mwaionaje hii!
Hivi alienda Jamaika kufanya nini jamani kama siyo kwenda kuvuta Bangi-li? Jamaika na Bongo wapi na wapi utalii upi alienda kujifunza kwani si kuna timu inayoundwa na wizara ya utalii kuhusu masoko ya utalii? duu upele umempata mkunaji.duu kumbe nyinyi ndo mnafikili nchi hii itaendelea kwa kutegemea misaada toka nje, Mi alikuwa ananihuzi sana kwenye speech zake za kila mwezi utasikia
1.nilienda marekani nimepewa mbu net hamsini
2. nimeenda UK nimeahidiwa kujengewa barabara ya km 3
3. nilienda uswisi nikaahidiwa kupewa kujengewa visima 2
eeeti ndo anatetea safari zake za nje hivi mtu mwenye akili timamu unatetea haya jamani, hiv washauli zake ni vilaza kiasi gani mpaka waaachie haya yoote. mwanaume unaeendesha maisha yako kwa kuomba unategemea nini!??
hivi haoni aibu kuomba, naye anakaa mbele za maraisi wenzake akisema nchi yake haiwezi kuendelea bila kusaidiwa!?? huku tanzanite kibao, almasi, dhahabu, milima mikubwa, mito kibao, misitu, ardhi yenye rutuba, Mungu akupe nini mtanzania!!
Mkuu nakuunga =mkono hapo juu. JK mbinafsi sana. Mkapa anaondoka madarakani aliwaambia Watanzania, Mtanikumbuka, kwa mazuri na kwa mabaya. Mimi namkumbuka kwa mzuri zaidi kuliko JK. Hivi kweli kama angekuwa anawapenda wananchi si angezinunua hizo helkopta pindi anaingia madarakani kuliko angengojea kampeni za uchaguzi??
duu kumbe nyinyi ndo mnafikili nchi hii itaendelea kwa kutegemea misaada toka nje, Mi alikuwa ananihuzi sana kwenye speech zake za kila mwezi utasikia
1.nilienda marekani nimepewa mbu net hamsini
2. nimeenda UK nimeahidiwa kujengewa barabara ya km 3
3. nilienda uswisi nikaahidiwa kupewa kujengewa visima 2
eeeti ndo anatetea safari zake za nje hivi mtu mwenye akili timamu unatetea haya jamani, hiv washauli zake ni vilaza kiasi gani mpaka waaachie haya yoote. mwanaume unaeendesha maisha yako kwa kuomba unategemea nini!??
hivi haoni aibu kuomba, naye anakaa mbele za maraisi wenzake akisema nchi yake haiwezi kuendelea bila kusaidiwa!?? huku tanzanite kibao, almasi, dhahabu, milima mikubwa, mito kibao, misitu, ardhi yenye rutuba, Mungu akupe nini mtanzania!!
Lukuvi mbungge wa jimbo la Isiomani anza kujishushia heshima kitenda cha kuwa danganya wapiga kura anza kupanga serikali hata kabla ya uchaguzi ,ajihakikishia ccm kushinda ,huku ameshindwa kujibu hoja za mgombea wa ubunge kupitia tiketi ya chadema mchungaji peter msigwa ,kwamba mbunge huyo ameshindwa kutatua tatizo la njaa kwa wapiga kura wake ,amekuwa akitengeneza njaa kama mtaji wa kumchagua baadala ya kutafuta sululuhisho la kudumu.Wananchi wanapaswa kuelewa kuwa hii ni danganya toto. Kura asipate
huyu jama anazdi kuahidi kujenga hospital za rafaa nyingine ,wakati hata dawa kwenye vituo vya afya hakuna akijenga hizo rufaa atawanywesha watu samadi ama mikojo yakeWananchi wanapaswa kuelewa kuwa hii ni danganya toto. Kura asipate
Utalii wa kubembea hasa unapojifunza kwa vitendo,,,lolHivi alienda Jamaika kufanya nini jamani kama siyo kwenda kuvuta Bangi-li? Jamaika na Bongo wapi na wapi utalii upi alienda kujifunza kwani si kuna timu inayoundwa na wizara ya utalii kuhusu masoko ya utalii? duu upele umempata mkunaji.
huyu jama anazdi kuahidi kujenga hospital za rafaa nyingine ,wakati hata dawa kwenye vituo vya afya hakuna akijenga hizo rufaa atawanywesha watu samadi ama mikojo yake