Kumbe kikombe cha babu kiliwasaidia wenye virusi vya ukimwi?

Hapana mkuu nimekumbuka Enzi zake watu walivyokuwa wanajaa sana pale lolindo hahahahahahahahhahhh Nenda kule jukwa la J.F. nina Dawa ya nguvu za kiume nauza kama unahitaji hebu ni P.m. mkuu au bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawaza-nguvu-za-kiume-kwa-anaye-taka.html

Ila hii issue ya 'Nguvu za kiume' inabidi tu sasa itangazwe kuwa janga la kiTaifa, maana siku hizi kila mganga ana dawa ya kutibu nguvu za kiume...na wanapata wateja kibao! Acha dawa za kisasa (Viagra, week end pill, etc) zinanunuliwa kama njugu! Majogoo siku hizi yameweka mgomo kuwika mpaka yapigwe 'hendeli'...
 
Kuna wengine walipona na wengine hawakupona na wengine walipata nafuu
 
Ila hii issue ya 'Nguvu za kiume' inabidi tu sasa itangazwe kuwa janga la kiTaifa, maana siku hizi kila mganga ana dawa ya kutibu nguvu za kiume...na wanapata wateja kibao! Acha dawa za kisasa (Viagra, week end pill, etc) zinanunuliwa kama njugu! Majogoo siku hizi yameweka mgomo kuwika mpaka yapigwe 'hendeli'...
Itabidi tuwaulize nyie Ma Daktari iweje vijana wa siku hizi majogoo yao hayawiki mpaka yapigwe 'hendeli'? Vizazi vya siku hizi vimeharibika kwa hayo matatizo ya Nguvu za kiume Mkuu kutokana na vyakula wanavyokula na hali ya Maisha ya kila siku ya MTanzania kula hatuli vizuri kila siku mlo wenyewe ndio huo huo Ugali kwa kauzu, ugali kwa kisanvu, ugali kwa mchicha utafikiri hakuna vyakula vingine vya kuliwa Siku ukipata Ugali kwa nyama ya kuku au nyama ya Ng'ombe ujuwe hiyo siku ya Sikukuu Au Mtu anaolewa au kuowa. Ndio maana vizazi vya siku hizi havina nguvu za kiume.
 
Back
Top Bottom